GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,060
Mjinga namba moja, wenzake wana misumeno yeye anakodoa macho badala ya kuruka au kumzaba vibao no 2
Watu wengi hawajagundua hilo. Ni hora ya matatizo uliyojisababishia mwenyewe kuliko kuona mtu anakutengenezea matatizo na ww umekaa unakodoa tu