Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Black Mamba ni chakula cha Nyegere (Honey Burger)
 
Nyoka ukimuogopa lazima atakudhuru, me hua nawapenda sana kuwa chezea.Ukiwaona huko kwako nikamatie niwachunguze.
Mkuu nahisi unahamu ya kuongeza kitu kwenye siridi ya maisha yako yani unacheza na nyoka duuh

Hao viumbe mi siwakubali hata kidogo aisee. Huwa nawashangaa sana watu kama wewe mnaopiga nao story kabisa.
 
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Duh!!!,Hivi Koboko ndo Black mamba??.
 
Kiujumla black mamba ana sumu kali kuliko king cobra,lakini linapokuja suala la mapambano ya ana kwa ana king cobra atashinda kutokana na kuwa na body size kubwa na ni mrefu kuliko black mamba.

Kwahiyo king cobra ana uwezo wa kumuua na kummeza black mamba.king cobra ni snake eater.

Kama ikitokea kiukweli black mamba ata escape pambano kutokana na wepesi wake wa kushambulia na kujihami.
 
ongezea kwamba black mamba anaweza kusimama kwa robo 3 ya mwili wake na mkaangalia usoni!!
kiukweli ni stori tuu hakuna ukweli wa black mamba kuua kiwango hicho kwa mwaka ni very rare sana black mamba hujiepusha sana na shari sababu anajua hana uwezo wa kukumeza hivyo akiona kiumbe wakubwa hana kazi nao zaidi ya kukimbia!akikuuma ni kwa bahati mbaya alikuwa anajihami tuu.
king kobra ni mbabe zaidi labda ungempambanisha na rock python ndo saizi yake.
Picha
 
Kiujumla black mamba ana sumu kali kuliko king cobra,lakini linapokuja suala la mapambano ya ana kwa ana king cobra atashinda kutokana na kuwa na body size kubwa na ni mrefu kuliko black mamba.

Kwahiyo king cobra ana uwezo wa kumuua na kummeza black mamba.king cobra ni snake eater.

Kama ikitokea kiukweli black mamba ata escape pambano kutokana na wepesi wake wa kushambulia na kijihami.
Hiyo ndio point
 
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Sio kweli, black mamba sio aggressive kihivyo, shida I naanza pale anapohisi Usalama wake uko hatarini, umemkanyaga, umezuia njia ama yupo cornerd hapo ni lazima akushambulie nje na hayo hapana, aisee.

Akiwa pissed off.. Ni mtata kuliko nyoka wengine.

Unaweza ishi na black mamba karibu na pango lake kwa kipindi kirefu wakat yeye anajua uwepo wako hapo, ila wewe ujui kuwa yuko hapo, na siku akijua umejua kuwa yale ndo makazi yake anahama.

Black mamba kama nyoka wengine wenye sumu kwa asili si wapenda shali, mara nyingi ikiwa hakuna ulazima wa mapambano uchagua kukimbia.
Hakuna nyoka duniani anae muona mtu na kumkimbilia kwenda kumuuma,hayupo.
 
Cobra nimewaua sana majira ya kiangazi, nilikuwa nikimwona, anatabia ya kuvimba kichwa na kusimamia mkia..hapo ndipo humpiga na kujivingisha kwenye rungu
Kuna kitu tuna changanya, kuna Cobra na king cobra hivi ni vitu viwili tofauti japo vina shabiiana kwa namna fulani.
Africa hatuna king cobra, tuna cobra tu.
King cobra wapo Asia tu, na ndo nyoka mwenye umbo na urefu mkubwa kwenye kundi la nyoka wenye sumu.
King cobra aliyekomaa ana urefu hadi ft 13/14..
Sasa fikiria kitu chenye urefu huo kisimame mbele yako, kinakuwa kinakutazama kama katoto.

Kwenye battle ya king cobra na black mamba, king cobra anamaliza pambano kwa sekunde kadhaa.
 
Asante kwa elimu mkuu
 
Back
Top Bottom