Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Mbona mama aliapishwa kabla ya shujaa kuzikwa
Mkuu umestarabika kweli au unataka tubishane tu..
Kwenu unaletaga haya malumbano kwmba maisha lazma yaendele ikitokea misiba,,
Kama hapana bas acha waziri apumzishwe kwanza..
 
Wizara pekee isiyokuwa na Naibu.Ile wizara ni kivuli tu cha kuhakikisha bajeti yao haiendi kwenye kampeni
Basi atateuli mjeda yoyote kuwa mbunge wa kuteuliwa na atapewa wizara...
 
Wewe
 
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Hata akifa rais lazima mambo ya nchi yaende ndyo maana Samia chap akachukua usukani
 
Utu na ubinadamu wako uko wapi?.Unawaza tu vyeo na madaraka.bure kabisa.
 
1.Mwigulu
2.Msukuma Kasheku
 
Nahodha ana nafasi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…