Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,327
- 6,850
Nitaje na mimi pia. Huyu anafaa kuja kuwa Makamu wa Rais mwanamke wa pili TanzaniaJenister Mhagama
Nitaje na mimi pia. Huyu anafaa kuja kuwa Makamu wa Rais mwanamke wa pili TanzaniaJenister Mhagama
SVN lazima apewe nafasiAtatokea Unguja
Tapeli huyu atauza nchiJanuary makamba
Hilo halina ubishiAtatokea Unguja
Yule Mlevi apewe wizara nyeti hivyoApewe fred lowassa
You are not serious! You must be joking!! such a play boy?January makamba
Ulishawahi kulewa nae wapi MimiYule Mlevi apewe wizara nyeti hivyo
Ulishawahi kulewa nae wapi Mimi
Dsmunaishi mkoani au DSM ?
Nlijua tu utaitaja 777 😀😀😀tembelea tembelea tripple Seven ,Karambezi na bar zote za watu wa mjini utamkuta
kama alipotutoka mtetez wa wanyonge ata awajazika mama enu akakalia kitiUkiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Kwa CCM hakuna hata mmoja anayefaa kwa cheo hichoKifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.
1. Mtu mwenye hofu ya Mungu.
2. Mtu mwaminifu Sana kwa rais
3. Mzalendo wa ukweli
4. Mpore asiye na makeke na mdomo kasuku
5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga
6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa
7. Asiyekuwa na matabaka
8. Asiyekuwa na kibri
9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga
10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.
Wanaotajwa kuziba nafasi hii
1 . Shamsi Vuai Nahodha
2. January Makamba
3. Seleman Jafo
Je, wewe unadhani wanafaa?
USSR