Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Join Date : 11th August 2008
Posts : 222
Thanks 0 Thanked 35 Times in 13 posts

Rep Power : 23

Habarindiyihiyo, umejiunga na JF mwaka 2008, haujawahi kuona post hata moja iliyokuwa na mashiko au comments za member zenye mashiko to say THANKS?
 
Mi naona Samwel Sita yule waziri wa Afrika mashariki ndo anaweza kuimalisha chama kama wakataacha michezo yao ya hatari!
 
Kwa hiyo kati ya hawa achaggue:-
Kinje
Maji marefu
Jaka Mwambi
Tambwe Hiza
Samweli Sita
Thomas Ngawaiya
.....................
.....................
Tunaendelea!
 
Hapo hamna kitu, kama wapo serious wamrejesha kutoka ubalozini Capt Mstaafu Jaka Mwambi atasaidia, ametulia na ameshawahi kuwa naibu Katibu Mkuu mwadilifu

Sio kweli, Jaka Mwambi sio muadilifu ama sivyo asingeondolewa makao makuu hapo nyuma; juu ya hayo Jaka ni boi wa RA!! Hivyo hafai kuwa katibu mkuu. Jakaya amteue mtu ambae sio rafiki yake na hana makundi ambae ni kada wa ccm alieiva kama MUKAMA.
 
Mimi ni mchango wangu tu! Kwa kuzingatia mchango mkubwa wa Kingunge Ngombale Mwiru, wa kutumikia chama kwa uadilifu mkubwa mimi napendekeza JK amteue Kinjekitile Kingunge Ngombale Mwiru kuwa Ktibu mpya wa CCM!
Nawasilisha maoni yangu wewe unaona nani awe?

Mimi nakataa...
Nyadhifa nyeti kama hii, tena katika kipindi cha dhoruba kama hiki - apewe Sheikh Yahya... Uwezo wa kuona mbali, uadilifu na zaidi 'his Unquestionable loyalty' kwa JK havina mfano
 
Nadhani Col. Simbakalia yule Mkuu wa Mkoa wa Kigoma anamfaa JK kama atampa ushirikiano. Waonaje Wakuu?
 
Mimi nakataa...
Nyadhifa nyeti kama hii, tena katika kipindi cha dhoruba kama hiki - apewe Sheikh Yahya... Uwezo wa kuona mbali, uadilifu na zaidi 'his Unquestionable loyalty' kwa JK havina mfano

Yes yes yes mi nakubaliana na wewe! Wan chichimu wenzangu nwaomba duwaaaaaa zenu ili tuweze kumshawishi Kaka mkubwa amteue Sheikh Yahya kuwa KATIBU wetu. Inshallah tukijaaliwa kukuche
 
Back
Top Bottom