Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

muhosni

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,108
152
No wonder waliahirisha bunge Ijumaa kumbe matumbo yalikuwa yanaharisha. But, Seriously, JK atapata nani msafi na mwenye akili timamu ambaye ni mwanachama wa ccm kwa sasa anayeweza kuwa katibu mkuu wa ccm?

Kama mafisadi wataendelea kubaki ndani ya ccm ni nani ndani ya ccm anaweza kuwadhibiti?

Katibu mkuu mpya gani anaweza kufanya kazi na timu ya mawaziri wa sasa ambao wengi ni mafisadi? Je, alitakiwa pia avunje baraza la mawaziri?

Amefanya uamuzi mzuri kuvunja Secretariat, lakini hata wapambanaji ndani ya ccm ni mafisadi, ni viwango tu

Ni bora tu angevunja chama chenyewe kuliko kufanya cosmetic surgury ambayo itakuja kuumuka kama pua ya marehemu Michael Jackson.

Update:
Hii thread hadi sasa imepata zaidi ya post 70 lakini hajapatikana mwana ccm mwadilifu, asiye fisadi, mwenye elimu, mchapakazi.

Kama JK angekuwa anategemea kupata ushauri hapa basi labda atafute wajumbe nje ya ccm au hata nje ya nchi
 
Katibu Mkuu mpya atakuwa Wilson Mukama, ... I stand to be corrected.
 
mbona wapo wengi tu,??................ hata tambwe hiza yuko fit kubeba hayo majukumu.................

mnacheka nini sasa??............. kwani makamba laipoingia alikuwa na sifa gani??.................. huyo ndie JK bwana .........
 
Waadilifu wapo...ila formation ya "Chama Chetu" haiendi hivyo...kwamba uongozi wa nyumba unaenda mrama suluhisho si kumtaliki mke....perhaps baba umepoteza muelekeo mwenyewe! Na suluhisho ni kurudu nyuma na kuangalia ni wapi ulipopotea ama kukiuka maadili! Salaam!
 
La kuvunda halina ubani bana!

Hakuvunja secretariat kwa sababu imeshindwa kazi bali kwa sababu kumetokea hoja ya kutenganisha mkti na rais, fungukeni macho!
 
mbona wapo wengi tu,??................ hata tambwe hiza yuko fit kubeba hayo majukumu.................

mnacheka nini sasa??............. kwani makamba laipoingia alikuwa na sifa gani??.................. huyo ndie JK bwana .........
Haaah haaah Haaah Tambwe Hiza aka Mchumia Tumbo.
 
Waadilifu wapo...ila formation ya "Chama Chetu" haiendi hivyo...kwamba uongozi wa nyumba unaenda mrama suluhisho si kumtaliki mke....perhaps baba umepoteza muelekeo mwenyewe! Na suluhisho ni kurudu nyuma na kuangalia ni wapi ulipopotea ama kukiuka maadili! Salaam!

Inchekesha na wakati huo huo inaogopesha maana hawa ndio watu wenye hatima ya taifa letu halafu inakuwa kama wanajifitisha sanda kabla ya ............ Naomba mnisamehe kwa hili wana JF!
 
Seriously, JK atapata nani msafi na mwenye akili timamu ambaye ni mwanachama wa ccm kwa sasa anayeweza kuwa katibu mkuu wa ccm?

Kama mafisadi wataendelea kubaki ndani ya ccm ni nani ndani ya ccm anaweza kuwadhibiti?

Katibu mkuu mpya gani anaweza kufanya kazi na timu ya mawaziri wa sasa ambao wengi ni mafisadi? Je, alitakiwa pia avunje baraza la mawaziri?

Amefanya uamuzi mzuri kuvunja Secretariat, lakini hata wapambanaji ndani ya ccm ni mafisadi, ni viwango tu

Ni bora tu angevunja chama chenyewe kuliko kufanya cosmetic surgury ambayo itakuja kuumuka kama pua ya marehemu Michael Jackson.

Shitambala
 
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Mhe. Jaka Mwambi ndio atakuwa mrith wa Makamba.Hii imetokana na kukubalika kwake kwa wanachama wengi na kotokuwa na kundi lolote.
 
ni mkristo au mwislamu?

kama ni mkristo yatamkuta ya mungai.

kama ni muislam, no problem
 
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Mhe. Jaka Mwambi ndio atakuwa mrith wa Makamba.Hii imetokana na kukubalika kwake kwa wanachama wengi na kotokuwa na kundi lolote.

Kama itakuwa kweli namhurumia kwani atakuwa katibu mkuu wa chama kinachoenda kaburini
 
Back
Top Bottom