Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Nendeni mkahoji mfumo mbovu na madudu ya kiutendaji pale jiji alipojivika u head of procurement, si kada makini ndani ya ccm, ni mwingi wa jazba na haja vionjo vya kisiasa
 
JAKA MWAMBI yasemekena ndiye aliyekua awe KATIBU MKUU ZAMA HIZO akapigwa zengwe kama kawa ya mfumo ambao ulijizarisha ndani ya CCM ya kupigana Zengwe Ikabidi atoswe.Ila kwa wanaomjua jamaa anaweza ILA kama hatokuja na yale yale ya SISI NDIO SISI.
 
Umekosea Chadema ni Chama cha Kuzomea,Maandamano na Kususa! Wako vizuri zaidi kwa kuzomea!
Naenda kufanya upya homework yangu! Nilifikiri wapinzani wamewahi kuzomewa mara kadhaa pale bungeni, mara nyingi ccm wamefanya maandamano... Ahaa kumbe na yule kiongozi wa maimam Zanzibar ni Chadema! Maana baada ya kutema cheche za ukweli akachana ka-muswada ka vilaza halafu kuonyesha msisitizo akasusa kwa kutoka nje. Chadema bwana kiboko, hadi Zenji... Nitarudi baada ya homework!
 
Kwani Kupata Katibu Mkuu CHADEMA kuna kazi ngumu? Kwani chadema kuna kazi tatu ambazo huyo katibu mkuu anaweza kuzifanya:
1.Maandamano
2. Kuhamasisha Migomo vyuo Vikuu
3.Kuzomea
Sasa kwa majukumu hayo kuna haja ya kukuna kichwa nani awe Katibu Mkuu 2013!
WEWE HIZA TAMBWE UNAUTINDIO,UNAJUA UNAPOTETEA MASLAI YA FAMILIA YAKO NA KUZUGA UNAUSAIDIA UMMA KUEPUKA MATATIZO YANAYOIKABILI SERIKAL NDIO KIINI CHA KUTIMULIWA KARIM JEI HALL, NA BADO NADHAN WATU WAMEKOSA SILAHA KAMA SOMALIA AU SUDAN.NADHAN UC NGEKUA NASI. Shwain
 
source: habari za kiintelijisia
habari kutoka watu wa karibu wa mhe jk zinasema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa spika wa bunge la 9 kuukwaa ukatibu mkuu wa ccm kutokana na mvuto na imani amani ambayo wananchi wengi wanayo kwake. kutoka chanzo hicho cha habari, kupewa sitta ukatibu mkuu itakuwa pigo kubwa kwa vyama vya upinzani hususani chadema kutokana na kukubalika sana kwa sitta kwa wananchi na wasomi wengi wa nchi hii.
 
HASWAA ni pumba kama hizi zinawafanya mzomewe mara zote. Si wabunge wenu wala wajumbe wa mashina wote lenu moja. Ndio maana mkakusanya watoto wa mitaani kwenda kufanya fujo kwenye kamati ya bunge. Matokeo yake wakaishia kusinzia kwa njaa maana hata maji tu ya kunywa hamkuwapa mlivyo na roho mbaya.

Bora watoto wakusinzia kuliko wasomi wa chuo kikuu ambao wanasomeshwa kwa kodi zetu kufundishwa kuzomea na Dr Slaa nao wanakubali! Useless!
 
labda atekeleze sera za chadema ndio atakubalika kwa watz
 
Mzigo mzito mpe mnyamwezi...hawezi kuunda chama upya maana kimeoza toka matawini...Huku juu ni ulaji tu
 
Mzigo mzito mpe mnyamwezi...lakini hata yeye hawezi kukisafisha chama kilichooza tika matawini.huko juu wanapotoana macho ni kugombea ulaji tu....
 
source: habari za kiintelijisia
habari kutoka watu wa karibu wa mhe jk zinasema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa aliyekuwa spika wa bunge la 9 kuukwaa ukatibu mkuu wa ccm kutokana na mvuto na imani amani ambayo wananchi wengi wanayo kwake. kutoka chanzo hicho cha habari, kupewa sitta ukatibu mkuu itakuwa pigo kubwa kwa vyama vya upinzani hususani chadema kutokana na kukubalika sana kwa sitta kwa wananchi na wasomi wengi wa nchi hii.

habari zako za kiitelijensia ni feki...JK kama anampenda sitta alikuwa wapi kumuacha akapigwa chini uspika...hivi nyie mnafikiria kweli au mnaandika andika tu
 
Mfa maji haachi kutapata. Kwani tatizo ni mvuto wa watawala au kushindwa kwa itikadi ya ccm kwa watanzania?
 
Kumpa Sitta ukatibu mkuu wa CCM maanake JK atakuwa ameamua kuachana moja kwa moja na wakina R.A na Lowassa, jambo hilo siyo rahisi. Kutokana na hulka yake JK hupenda kuuma na kupuliza.
 
Back
Top Bottom