Mimi nahisi wafuatao wanafaa
1. Kapteni John Komba..........................usicheke ............huyu ni askari mwenzake wa zamani ambao wote wakaushindwa uanajeshi kutokana na usanii, mmoja msanii wa muziki na mwingine msanii wa akili
2. Amaan karume.......Sasa hamtaki zenj nayo itoe katibu mkuu wa chamama?? Kama mnamuona kwakuwa alikuwa rais sawa, mwingine ni huyu...
3. Moudline Castico........Ndio, kwanza ni mwanamke, pili ni mzenji, ingawa aliwahi kuvuliwa uraia lakinikwa sasa ni raia halali.... au
3.Ramadhani Mapuri........heeee mmemsahau jamani??? aliwahi kuwa katibu mwenezi akaingia mgogorona wanahabari baada ya kuwatwanga kule magereza ukonga, huyu atakula sahani moja na wpinzani bila ya wasiwasi..... au.....
5.Zakhia Hamdani Meghji..........Huyu ni mwanamama wa shoka mbele ya JK. Al manusra awe makamu wa Rais lakini Bilali akatibua dili, sasa ni wakati wake maana uwaziri alikoseshwa na wanahabari na ubashiri wao wa kila siku. Tena ni mwanamke, historia taendelea kuandikwa kwa JK na CCM
6.Salum Msabaha......Pamoja na kuwa ni mlevi, lakini amekaa sana CCM tangu ajitoe CUF kwa aibu ya kutekwa nyara na uongo wake kama wa Tambwe hiza, na ujeuri wake utasaidia kupambana vema na upinzani
mwisho ni hao wafuatao hapo chini........................................................