Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Mimi nadhani wakati umefika sasa wa CCM kuwa na kiongozi mwanamake kama walivyosema kwa Spika wa Bunge basi sasa Katibu Mkuu wampe Sophia Simba.
 
Shitambala (maana yule bado ana element ya usafi wa chadema) otherwise nothing; nonsense CCM yote ivunjwe na izikwe sasa is eating up our resources bure
 
No matter what happens CCM hawana namna. Katibu ateuliwe nani wakati mambo kibao hayajatulia?
  1. Khadija Kopa ni Mzenji. Akimteua yeye Muungano ukavunjika itakuwa tabu kwani atalazimika kuteua mtu mwingine muda si mrefu kwa kuwa Kopa atakuwa si raia wakati huo (kama Makamba alivyosema juu ya Bashe).
  2. Akimteua Riz-1 atalalamikiwa kwa usultani. Shigela, upande wa wasiokuwa wanamtandao watampinga sana. Na kwa akili ya Shigela ataanza kuropoka habari za ufisadi nusunusu na kusahau mwingine. Huyu hatakuwa tofauti na Makamba.
  3. Phillip Mangula inasemekana hawaelewani hivyo si ajabu akakataa baada ya kuteuliwa ili kuonesha wanamtandao walivyoishiwa. Labda Magufuli lakini sidhani kama ataweza kudumu maana Rostam hataki hata kusikia jina lake kwa kuwa aliwahi kuwabana Caspian kuhusiana na uhuni ktk ujenzi enzi hizo.
Tumwonee huruma JK kwa kuingia mkataba wa kihuni na akina Lowasa na Rostam akidhania wananchi watalala siku zote. Tusubiri majibu baada ya vikao kumalizika.
 
Ridhwan jakaya mrisho khalfan kikwete (ili akiondoka amteue awe rais)
si si emu hoiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Mimi nahisi wafuatao wanafaa
1. Kapteni John Komba..........................usicheke ............huyu ni askari mwenzake wa zamani ambao wote wakaushindwa uanajeshi kutokana na usanii, mmoja msanii wa muziki na mwingine msanii wa akili
2. Amaan karume.......Sasa hamtaki zenj nayo itoe katibu mkuu wa chamama?? Kama mnamuona kwakuwa alikuwa rais sawa, mwingine ni huyu...
3. Moudline Castico........Ndio, kwanza ni mwanamke, pili ni mzenji, ingawa aliwahi kuvuliwa uraia lakinikwa sasa ni raia halali.... au
3.Ramadhani Mapuri........heeee mmemsahau jamani??? aliwahi kuwa katibu mwenezi akaingia mgogorona wanahabari baada ya kuwatwanga kule magereza ukonga, huyu atakula sahani moja na wpinzani bila ya wasiwasi..... au.....
5.Zakhia Hamdani Meghji..........Huyu ni mwanamama wa shoka mbele ya JK. Al manusra awe makamu wa Rais lakini Bilali akatibua dili, sasa ni wakati wake maana uwaziri alikoseshwa na wanahabari na ubashiri wao wa kila siku. Tena ni mwanamke, historia taendelea kuandikwa kwa JK na CCM
6.Salum Msabaha......Pamoja na kuwa ni mlevi, lakini amekaa sana CCM tangu ajitoe CUF kwa aibu ya kutekwa nyara na uongo wake kama wa Tambwe hiza, na ujeuri wake utasaidia kupambana vema na upinzani
mwisho ni hao wafuatao hapo chini........................................................
 
Omary Mahita, The Former IGP........................ndio, kwani mmemshau kuwa ni CCM damu?????????????????
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom