Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Ngawaiya? Si unajua anatakiwa mropokaji asiye na elimu wala akili?
 
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Mhe. Jaka Mwambi ndio atakuwa mrith wa Makamba.Hii imetokana na kukubalika kwake kwa wanachama wengi na kotokuwa na kundi lolote.

Hii kali ya mwaka. Tokea lini mfanyakazi wa serikali anaachishwa kazi yake kuja kutumia chama ambacho hakina uhusianoajira yake.
Labda uniambie Jaka Mwambi alikuwepo dodoma na huwa anaomba ruhusa toka urusi kuja kwenye vikao vya chama.

Na wamemkumbuka mzee wa watu! Yaani ni miaka mingi sijamsikia kwenye magazeti hata kwenye kutuma salamu za redio hahahha!
 
Ngawaiya? Si unajua anatakiwa mropokaji asiye na elimu wala akili?

Basi abaki Makamba maana nikifikiria waropokaji ni yeye au Anna Kilango. Mamaaaa nilimsahau sofia simba. Llabda safari hii wafanye na gender balance
 
mbona wapo wengi tu,??................ hata tambwe hiza yuko fit kubeba hayo majukumu.................

mnacheka nini sasa??............. kwani makamba laipoingia alikuwa na sifa gani??.................. huyo ndie JK bwana .........

hahaaa mkuu umenichekesha sanaaaaaaa...mwe Tambwe Hizza apewe mikoba ya Ukatibu mkuu...aiseee
 
Basi abaki Makamba maana nikifikiria waropokaji ni yeye au Anna Kilango. Mamaaaa nilimsahau sofia simba. Llabda safari hii wafanye na gender balance

nyie wana acheni kunivunja mbavuu..Sofia simba tena...mbona itakuwa ni mavicheni pati daily pale lumumba na vibao kata kila ijumaa
 
MpendaTz sina hakika km nimekuelewa kama ulivyotaka nikuelewe....nilichomaanisha ni kua waadilifu serikalini wamo,tena wengi tu kwa uchache wao....tatizo ni wigo wa chama! Kwamba km tunataka CCM ya mtazamo wa Nyerere tusubiri miaka mia ijayo ambayo kizazi hiki kitakua kimefutika ilihali kitakachokuja nyuma kikifundisha uadilifu na maadili ya uongozi!
 
Jamii forum, the best forum to visit!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unacheka unakasirika na unakuwa updates all the time! Sasa Tambwe awe Katibu au Sofia mmmmmmm hiki kicheko cha nje kabisaaaa
 
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Mhe. Jaka Mwambi ndio atakuwa mrith wa Makamba.Hii imetokana na kukubalika kwake kwa wanachama wengi na kotokuwa na kundi lolote.
Fuatilia historia ya Jacka Mwambi uone! Ni rafiki mkubwa wa JK na walikuwa naye jeshini kwa hiyo mambo ya uswaiba yataendelea sio kwamba ni mchapakazi kiviile basi tu anatafuta mtu anayemwamini kulinda maslahi yake na hii ni baada ya kusikia CC kuna hoja ya kutenganisha uenyekiti wa chama na urais so anajishield yasije yakamkuta ya Mbeki
 
Basi abaki Makamba maana nikifikiria waropokaji ni yeye au Anna Kilango. Mamaaaa nilimsahau sofia simba. Llabda safari hii wafanye na gender balance

Hiyo itakuwa ni gender gift, kama ya Makinda
 
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Mhe. Jaka Mwambi ndio atakuwa mrith wa Makamba.Hii imetokana na kukubalika kwake kwa wanachama wengi na kotokuwa na kundi lolote.
hamna kitu..... he was too old ten years ago
 
Jaka Mgwabi Mwambi is a Tanzanian politician and diplomat.

Dmitry_Medvedev_with_Jaka_Mwambi.jpg

President Dmitry Medvedev accepts credentials from Jaka Mwambi in September 2008.

Mwambi is a former Regional Commissioner of Rukwa Region, Tanga Region and Iringa Region and was Deputy Secretary-General of the Chama Cha Mapinduzi party,[1] until he was replaced by George Mkuchika, a Member of Parliament from Newala district, in November 2007.
Mwambi was appointed as the Ambassador of the United Republic of Tanzania to the Russian Federation, and presented his credentials to the Russian Ministry of Foreign Affairs on 24 July 2008,[2] and to President Dmitry Medvedev on 18 September 2008.

IMG_1940.jpg
 
Kwa vyovyote vile jahazi limeshayumba na kukosa muelekeo, hakuhitajiki tena utaalam kuliongoza maana linaelekea kuanguka kwahiyo jk atakachofanya ni kutoa nafasi kwa yule atakayekuwa tayari kuzama nalo
 
nyie wana acheni kunivunja mbavuu..Sofia simba tena...mbona itakuwa ni mavicheni pati daily pale lumumba na vibao kata kila ijumaa

Jamani mnanichekesha saaanaaaaa!!!!! MAMBO YA VIBAO KATA TENAAA!!! aaaaaaahhhaaaaahhh!!!!! MAANA HUO NI UZARAMO HALISIA....
 
Mbona kama hiyo afya ya joka mwambi ni mgogoro kwa mwaka 2008, sasa hivi ikoje?
 
Waziri Mkuu, Edward Lowassa akiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Jaka Mwambi (kulia) kukagua maadalizi ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana, utakapofanyika mkutano mkuu wa CCM

Back
Top Bottom