Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
Sasa kama Mh.Rais hana maamuzi mpaka wampe desa hiyo si hatari? siamini kama kweli mh.rais huwa hana misimamo anayosimamia kama ni hivyo basi hali itakuwa mbaya miaka hii mitano ya mwisho hasa ukizingatia watu wanavyokimbizia Urais 2015 utafikiri uhai wanatoa wao!
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

we ni ziro kama hii comment yako.
unafuatiliaga bunge kweli wewe?? je wajua kwamba wabunge wote wana mifuko yao inayogaramiwa na bunge kwa ajili ya kusaidia wananchi na moja ya kitu kingine walichoruhusiwa ni kujenga ofisi ya mbunge kila jimbo ili waweze kuhudumia wananchi vizuri.
Pamoja na hilo ile siyo ofisi ya Sitta bali ni ofisi ya mbunge yeyote atakayepitishwa na wananchi jimboni kwake awe wa upinzani au wa ccm......Amka weweeee!!!!
 
  1. Je watamrudisha PINDA au na yeye watasema ni nafasi za wanawake kipindi hiki? Lakini huyu jamaa hana madhara kwao! yakiwa magumu analia!
  2. Magufuli angefaa lakini atamfunika JK- japo wote wana PhD? Huyu atapewa kawizara kagumu?
Wana JF waziri Mkuu wa Chama Cha Majambazi ni nani? Je watafuata utaratibu waliotumia kumpata Anna Makinda anayekwenda kuliangamiza taifa kupitia mamlaka anayokwenda kupewa Bungeni?
 
Acha upumbavu wako mama .watu tunasikitika nchi inapelekwa pelekwa na wahuni wewe unachekelea.kama swala la muhimili mmoja uongozwe na mwanamke situngempa mama kikwete nchi zen jamaa awe first-boy.na nikikukamata lazima nikutufuetufue punda weweee!

uvumilivu wa hoja -sufuri-. Kisha unataka kuagiza manjanika?, wewe si mwenzetu nenda kafundwe kwanza.
 
  1. Je watamrudisha PINDA au na yeye watasema ni nafasi za wanawake kipindi hiki? Lakini huyu jamaa hana madhara kwao! yakiwa magumu analia!
  2. Magufuli angefaa lakini atamfunika JK- japo wote wana PhD? Huyu atapewa kawizara kagumu?
Wana JF waziri Mkuu wa Chama Cha Majambazi ni nani? Je watafuata utaratibu waliotumia kumpata Anna Makinda anayekwenda kuliangamiza taifa kupitia mamlaka anayokwenda kupewa Bungeni?

Sasa hivi ni zamu ya kuwa na waziri mkuu mwenye asili ya kiasia. Hii itaonyesha nchi yetu ni moja na haibagui rangi, uraia, kabila, etc. Na huyo si mwingine bali RA. Subiri uone, hii ndiyo CCM bwana
 
Na huo ndio ukweli wenyewe.

Haya yaliyotokea sio surprise hata kidogo. Namshangaa 6 alipaswa kujua majaliwa ya nafasi yake hata kabla ya uchaguzi. Ameshikwa pabaya, miaka 5 ya bunge kwake itakuwa kama miaka 10.



we achana na mafisadi na miviongozi inayokimbilia visasi....
issue ni kamba Sita akipewa uwaziri watamshushia mikashifa hadi ajiuzulu km kina Karamagi na EL yani hiyo imeshapikwa bora ajikalie k upande wa wabunge huku apumzike....
 
  1. Je watamrudisha PINDA au na yeye watasema ni nafasi za wanawake kipindi hiki? Lakini huyu jamaa hana madhara kwao! yakiwa magumu analia!
  2. Magufuli angefaa lakini atamfunika JK- japo wote wana PhD? Huyu atapewa kawizara kagumu?
Wana JF waziri Mkuu wa Chama Cha Majambazi ni nani? Je watafuata utaratibu waliotumia kumpata Anna Makinda anayekwenda kuliangamiza taifa kupitia mamlaka anayokwenda kupewa Bungeni?

unamaanisha kikwete ana PhD?
 
Hivi naomba kuuliza JK Phd yake ni katika nini na research yake ilikuwa nini?? Labda TBS wanajua watueleze manake nilikuwa sikia sana Dr. Kikwete natamani kutapika.
 
Huu ndiyo mwanzo wa CCM kuelekea kuzimu kama KANU, mtakuja niambia. Dalili ndiyo hizi mnazoziona sasa. Kigezo cha kusema ni zamu ya mwanamke wakasahau tabia za Watanzania ndiyo kujimaliza kwao! Time will tell.
 
kwanza tunadhani sitta ni safi kiasi hicho kukemea ufisadi?

Kama sitta ni clean alikwenda kujenga zile office kule kwao za nini? Jee alijua kwamba atakuwa madarakani kwa muda gani? Na ni wazi kabisa 2015 sitta alikuwa anajipanga kuja kulianzisha kwenye sakata la uraisi, lakini wakubwa wameona mbali hivyo wamemtoa kafara kwenye ziwa tanganyika.

Politics ya ccm ni rahisi sana kuisoma, ndio maana sielewi how wanaweza kurudi 2015. Chama kiko kwenye political bankrupcy, hakina new ideas, wala new leaders. Ni wale wale wazee ambao wameifikisha tanzania hapa ilipo leo, failed policies and poor theories.
nimekusoma kaka
 
hana lolote naye ni fisadi tuu,nashangaa mnavyomwona wa maana kuliko huyo speaker to be(Makinda),huyu alikuwa mbele sana kuzima hoja za kina Slaa mpaka alipoona maji mazito ikabidi aziachie tuu,kwanza nashangaa hakuwatimua bungeni wabunge waliokuwa wanatuhumiwa kwa ufisadi mpaka wasafishwe na vyombo vya sheria,hana lolote mnafiki tuu bora katolewa...na kisa cha kujenga jengo la spika huko kwao sijui urambo kwa billions zetu ni ufisadi wa hali ya juu,watakao saidia ile nchi wale wale kama kina Slaa waliopigana mpaka wengi wakafunguka macho sio hawa...they must go 2015!
 
Msipoteze wakati wenu waziri mkuu ataendelea huyo huyo Pinda kwani hawabugudhi MAFISADI; in fact wanampenda kwani alikili mwenyewe bungeni kuwa "anawaogopa" kwani wana nguvu sana wanaweza kuyumbisha nchi!! What a PM!!

Na kweli ndugu yangu:)
 
Duru ndo hizo sasa,tusubiri tu baada ya kukosa Uspika SS ndo anaenda kwenye UPM.

Hilo litakuwa kosa la jinai kwa ccm, ni sawa na kuruka mkojo na kwenda kukanyaga ma**. Mradi wamemtoa kwenye sehemu nyeti ambayo alionekana kikwazo kwa maana kuharibia ccm na mafisadi ndiyo maana wanasema wapinzani wamepata nguvu sababu ya Sitta kuruhusu mijadala ya ufisadi ambayo ni kama vita dhidi ya ccm. The least ccm can do ni kumpa uwaziri wa mifugo na uvuvi katika kutaka kupunguza mivutano ya ndani kwa ndani kama walivyofanya kwa Dr Bilal kumpa umakamu wa rais
 
Sam six anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani ama naibu waziri mkuu.taarifa nilizonazo ni kwamba leo amekua na kikao kizito na mkwere akijaribu kumshawishi sam 6 akubali moja kati ya hizo chances japo sam amekua akisita na kutishia kutimkia chadema,anaona bora awe kwenye benchi la upinzani kuliko kukalia tena benchi la ccm,pia kumekua na presha toka kwa wapambanaji wa ufisadi ndani ya ccm wakiongozwa na dr.mwakyembe kumtaka sam 6 asikubali kuhongwa vyeo hivyo kulinda heshma yake,ni suala la kusubiri na kuona nini kitajiri.
Mwisho wa kuwasilisha.


Mimi nimjuavyo Samwel Sitta hawezi kuhama CCM kwenda upinzani hata siku moja, kumfikiria hivyo nisawa na kusema Kikwete anaweza kuhama CCM kwenda upinzani
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom