Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
Pinda aliye wafanyia kazi vizuri wampeleka wapi? labda useme 6 awe Pm kwa muda wakitafuta njia ya kumaliza zaidi na Pinda arudi kwenye nafasi yake
 
Duru ndo hizo sasa,tusubiri tu baada ya kukosa Uspika SS ndo anaenda kwenye UPM.

Lol !! Hiyo itakuwa garama kwa serikali kweli kweli, yaani kwa wakati mmoja wapate Spika mstaafu na Wazikiri mkuu mstaafu wote 80% ya mshahara, ulinzi magari eee mwaka huu kazi kweli kweli.
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
 
acha fiksi zako wewe!makinda haliwezi bunge hili.ataweza kuamulia ngumi?Marando anahusika.
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

acha fiksi zako wewe!makinda haliwezi bunge hili.ataweza kuamulia ngumi?hakuna ubishi bunge lilichangamka chini ya 6.Marando anahusika kwa sasa.
 
Hawawezi kumpa uwaziri mkuu kama walimtumia Chenge amdhalilishe vile!
Chenge aliambiwa aseme 6ni mtu hatari kama UKIMWI, itakuwaje wampe uwaziri mkuu tena?..think twice..Pinda ataendelea na nafasi hiyo maana hana guts za kukemea ufisadi, hivyo wakubwa wana uhakika wa mambo yao kuwa salama!
 
Msipoteze wakati wenu waziri mkuu ataendelea huyo huyo Pinda kwani hawabugudhi MAFISADI; in fact wanampenda kwani alikili mwenyewe bungeni kuwa "anawaogopa" kwani wana nguvu sana wanaweza kuyumbisha nchi!! What a PM!!
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
Bado sana wewe hujui kitu!
Kwani wewe Lowasa na Rostam ni wajomba zako? Na unafikiri kwa kipindi ambacho Anna makinda atakuwepo kutakuwa na hoja yoyote ya ufisadi itaibuliwa na kujadiliwa?

Halafu kama ulikasirishwa na Sitta, ulitaka afanye nini na serikali yenyewe hii. Basi wewe ni CCM maana nao walimwona kama upupu na wameogopa wanaume wooote sasa wamekimbilia kwa wanawake.
Tuacheni unafiki, CCM wamekosea sana kumng'oa sitta na itawagharimu.

Mimi naichukia CCM hadi basi
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

Umetumwa????? hebu tupishe..........
 
mh watakuwa wamelisha sumu ili waweze kumtuliza vizuri nini...hapo akipata atajisahauu na maneno aliyokuwa anajifanya kuyapinga na kuyapigania yatapotelea hewani
 
Sitta hawezi kupewa uwaziri mkuu. Ila angepewa angeendeleza moto wake na urais 2015 ungekuwa wake. Mzee yule kafanya kazi nzuri sana bungeni kwa miaka mitano iliyopita. Nadhani watampa uwaziri wa kawaida tu, kupotezea ile hali ya kuwa kufitiniwa asipate uspika tena.
 
ANA MAKINDA NDIYE SPIKA KWA VIGEZO HIVI:-
1. WANA CCM WOTE WATAMCHAGUA YEYE
2. KUMBUKA CCM NA CUF WAMEUNGANA HIVYO HATA MREMA ANAONEKANA KUJUINGA NA CCM HIVYO WABUNGE WOTE WATAMCHAGUA ANA NA KUWA NA KURA NYINGI.
3. CHADEMA "NGUVU YA UMMA" INAWABUNGE WACHACHE HATA KAMA ITAUNGANA NA NCCR MAGEUZI HAWATA WEZA KITU.
NCHI IMEKWISHA.
SITTA ANASTAHILI ALICHOFANYIWA KWANI:-
i. ALIKUWA NA NAFASI YA KUPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS WAKATI WA TUKIO LA LOWASSA ILIAIOKOE NCHI AKAONA CHAMA NI BORA HIVYO BAADAYE AKATAKA KUJIUNGA NA CCJ AKASHINDWA WAJOMBA JAMAA HAFAI. WAMEONA WAKIMPA TU ANAWEZA AKAJIJENGEA UMAARUFU ILI 15 AGOMBEE URAIS KAISHA HUYO.
 
Kupata UPM itakuwa ngumu, halafu isitoshe 6 kwa ujasiri wake hafai kwenye nafasi za kuteuliwa maana watamfukuza, huyu jamaa anafaa kwenye nafasi ya kuchaguliwa ili awe na nguvu.
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

CIJAONA MFALME JUHA HUMU NDANI KAMA WEWE, kama huna kitu cha kukoment nenda kalale na bwana wako..

CCM NI CHAMA KILICHOWEKEA DRIP, NA KUMTEMA SITA NI KUKIPELEKA JEHENAM HIKI CHAMA. I HATE TANZANIA POLITICS, AND CCM AT ALL.

NCHI inapelekwa kchwa kchwa. CC ya hk chama tawala knafanya maamuz utadhan wamelaaniwa na NYERERE...
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika
Lowassa mume wakoe!! Unaongea utadhani uko ******!!
 
6 ndo kashafulia mkuu, safari ya urambo inamngoja
pinda anarudi kama PM, AM spika then mafisadi miguu juu tutajuata mbona?
 
Sitta alishindwa kusoma alama za nyakati - hakutakiwa kuchukua form za "uspika"

Andrew Chenge alichukua form "strategically" ili kuleta uchafuzi wa hewa possibly kwa maelekezo ya Kamati Kuu na ultimately kumdondosha Sitta - and Boom!

Sitta, nadhani carrier yake kisiasa imefikia ukoma. Kama atakuwa mwerevu 2015 apumzike kabisa ili wasimmalize moja kwa moja!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom