Nani kumrithi Dr. Macha ubunge viti maalum?

saraka

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
30
Reaction score
3
Habarini wadau, nilikuwa napenda kujua ni nani atarithi kiti cha marehemu Dr Macha viti maalum chadema.
 
CCM wanajuwa maana wanataka kucaulia wabune ata vyama vya upinzani hahaaaaaaaaaaaa
 
Mama yangu mzazi ni mdau mzuri tu Waharakati za maendeleo na mjenzi wa jamii bora, hata maono yangu yeye ndio ameendeleza kunijenga baada ya mzee wetu kufariki. Mkimpa nafasi mtakuwa mmechagua Jembe hasa.

Mama yetu Laurencia T. Maziku atawajengea pia BAWACHA ya kisasa, kumbuka mwanae nipo kumpa maono ili awasaidie. Kazi kwenu CHADEMA. Nje ya Utumishi wa umma anaweza kuwaimarishia chama.

Deogratius N Kisandu
ACA.
 
Hahahaha, hua nikitaka kupunguza stress za mapafu hua napitia hapa kwa huyu mdau kidogo😀😀😀
 
Mama yangu mzazi ni mdau mzuri tu Waharakati za maendeleo na mjenzi wa jamii bora, hata maono yangu yeye ndio ameendeleza kunijenga baada ya mzee wetu kufariki. Mkimpa nafasi mtakuwa mmechagua Jembe hasa.

Mama yetu Laurencia T. Maziku atawajengea pia BAWACHA ya kisasa, kumbuka mwanae nipo kumpa maono ili awasaidie. Kazi kwenu CHADEMA. Nje ya Utumishi wa umma anaweza kuwaimarishia chama.

Deogratius N Kisandu
ACA.
Siyo kwa kuwa ni mama yako?
 
Umewastua chadema,ndio watamfuta na uanachama kabisa
 
Nyie gombaneni hadi mwisho lakini mkae mkijua Tanzania sio Mwanza,Mara na Kilimanjaro pekee. Huku Mtwara, Lindi, Ruvuma na Morogoro wapo wenye hizo sifa hivyo inabidi mkue sasa. Tena tabia yenu ya kuwatafuta kina masawe waliokimbilia mikoa hiyo ndio kuwateua pia muache. Haileti afya kwa chama unless kama mmeridhika na hapo mlipo.
 
Heee hadi TUNU YA TAIFA yuko huku? ama kweli hata ww unafaa "viti maalum" maana si kwa akili hizi za kitunu tunu!
 
Back
Top Bottom