Nani kumrithi Dr. Macha ubunge viti maalum?

Mama yangu mzazi ni mdau mzuri tu Waharakati za maendeleo na mjenzi wa jamii bora, hata maono yangu yeye ndio ameendeleza kunijenga baada ya mzee wetu kufariki. Mkimpa nafasi mtakuwa mmechagua Jembe hasa.

Mama yetu Laurencia T. Maziku atawajengea pia BAWACHA ya kisasa, kumbuka mwanae nipo kumpa maono ili awasaidie. Kazi kwenu CHADEMA. Nje ya Utumishi wa umma anaweza kuwaimarishia chama.

Deogratius N Kisandu
ACA.
Pole Lakin Ubarikiwe
 
Deo watu ni vigumu kuuelewa ila wewe ni genious[emoji108]
 
Mama yangu mzazi ni mdau mzuri tu Waharakati za maendeleo na mjenzi wa jamii bora, hata maono yangu yeye ndio ameendeleza kunijenga baada ya mzee wetu kufariki. Mkimpa nafasi mtakuwa mmechagua Jembe hasa.

Mama yetu Laurencia T. Maziku atawajengea pia BAWACHA ya kisasa, kumbuka mwanae nipo kumpa maono ili awasaidie. Kazi kwenu CHADEMA. Nje ya Utumishi wa umma anaweza kuwaimarishia chama.

Deogratius N Kisandu
ACA.

Mama yako ndiyo yule uliyewahi kutuambia kuwa baba yako alipewa Zawadi na ccm?Kama ni huyo sidhani kama ataifaa chadema.
 
hii nafasi ingekuwa ya bavicha ningesema apewe nusrat hanje. sasa kwa kuwa ni ya kundi la walemavu naomba apewe tu mlemavu yeyote .
 
Kwa nin asipewe mke wa sumaye au mke wa lowasa?
 
Marehemu hata bado hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Mshaanza kufikiria nani wa kumrithi duh
 
Huyu mleta mada ana ID fake zaidi ya moja. Alitaka kumpigia debe wema, akaanzisha mada halafu akajibu kutumia ID nyingine na kumtaja wema.
 
Mpeni mke wa rowasaa tuone atakavyoshangiriwa bungeni na wana Ccm km upinzani wali by on shang Iria jk
 
Back
Top Bottom