Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Wapi Hujaelewa? Anamaanisha Kuwa Wanaume Wa Dar Ni Sawa Na Wanawake Tu.
Kwahiyo ukifika Dar usipokuwa makini unaweza jikuta unatongoza lijamaa ukidhani ni miss!!
Wapi Hujaelewa? Anamaanisha Kuwa Wanaume Wa Dar Ni Sawa Na Wanawake Tu.
Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwao baadhi ya kina mama wa mkoa huu wa Dar kuwakuta wamevaa mavazi yasiyowastahili kwa mfano unamkuta mmama kavaa kitop na tight jeans na ukimuangalia unajua kabisa hii ngoma ni 45+.
Ndio kusema magauni siku hizi sio dili? Maana naona mafundi chereheni wanaishia kushona suti za madereva wa daladala na makonda wao ikizidi sana ni sare za wanafunzi na suruali za waimba kwaya.
sasa kama wanaume zao ndio hao wakimbia panya road unategemea wanawake wakoje?
Wapi Hujaelewa? Anamaanisha Kuwa Wanaume Wa Dar Ni Sawa Na Wanawake Tu.
sasa kama wanaume zao ndio hao wakimbia panya road unategemea wanawake wakoje?
Badala ya kujadili vitu tunajadili watu.
ww akili hunaaaaaNi nani amekutuma uwaangalie? Na wewe ni nani ktk nchi hii kumwambia Mwanamke avae hivi ama vile? Kama wanakukera walivyovaa usiwaangalie!
Wanawake ni watu wazuri sana na Mungu amewabariki na atazidi kuwabariki!
Aaaah kwani unatudai mkuu....
Ndio vibibi vivae tight na matumbo yao ka vifurushi?
nini unataka kumaanisha ??
Na Na...umeongea kitu cha ukweli...ukijaribu fanya uchunguz utagundua wakazi wengi wa Pwani hupendelea hayo mavazi, na si rahisi kuwakuta wamevaa nguo za ajabu ajabu...Hao ujue wa kuja, Wenye Dar yao wanavaa mabaibui, jilbabu, madera na wanashona hadi Leo...Kama unabisha nitafute nikupeleke Kariakoo na Tandika na Ilala uone mafundi wanavyogombana na wamama kuhusu nguo zao....
Binti jiangalie sana chunga mdomo wako na vidole vyako!
hawa panya road wamefanya wanaume wa dar kwa kweli wasipumue, kila mtandao unaopita wanaume wa dar full kudharauliwa, du panya road kaleta mambo
akili huna
Aaaah kwani unatudai mkuu....
acha kuvaa vi tight