Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa kwao baadhi ya kina mama wa mkoa huu wa Dar kuwakuta wamevaa mavazi yasiyowastahili kwa mfano unamkuta mmama kavaa kitop na tight jeans na ukimuangalia unajua kabisa hii ngoma ni 45+.
Ndio kusema magauni siku hizi sio dili? Maana naona mafundi chereheni wanaishia kushona suti za madereva wa daladala na makonda wao ikizidi sana ni sare za wanafunzi na suruali za waimba kwaya.