masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,881
- 13,165
- Thread starter
- #21
Makongo shuleni, LugaloAh bado kuamini aisee...nipe directions za kufika hapo mkuu!

Unajua magamba ndio watu ambao huwa hawana akili,wao ni kiku ya mali tu,na ndio wanaojenga hapo!View attachment 69288
Wakati mwingine nashangaa sana nji hii!!
Huko kipande ya Makongo support ya nguzo inajengewa ndani ya nyumba.
Sasa hizo nguzo za umeme zikioza zitatolewa vipi?
Asante Small Maza, kuna wana JF siyo critical thinkers.
Hapa najaribu kuonyesha kwanza uhatari wa kujenga kwa kuikumbatia miundombinu hatari ya umememe.
Pili hapa , right-of-way ya miundombinu ya umeme inaishia wapi? Kwa maana kwa mtindo huu watu watajenga hata chini ya nyaya za umeme.
kwanini umefikiria kibali cha ujenzi nahujafikiria kibali cha kupisha nguzo kwenye viwanja vya watu ambao tayari walishasubmit na ikawa aproved ramani ya ujenzi. hapa inaonekana jamaa alikuwa keshajipanga na hako karamani chane akakuta nguzo zimepita nayeye kaamua kuendelea na ujenzi wasipokuja kutoa nguzo zao ataitoa mwenyewe kwani hiyo si ni ya kusupport tu hiyo line hivyo athari itakuja baadae wote mantanange tu
Mkuu hilo ni eneo la jeshi hakuna mwenye kiwanja maeneo hayo.

Ukiangalia picha vizuri utaona lenta line haikushikamana kati ya majengo haya mawili, na baraza yake pia kama vile wanatumia kigezo hiki kuendelea na ujenzi japo wananguvu zaidi ya hii yakushawishi Mama Mdogo.Mleta mada anaongelea nguzo ya Tanesco ya kushikiza iko ndani ya nyumba, siyo nafasi kati ya majengo mawili wala baraza kushikamana.
sio nyumba, ni power depot ya TANESCO kujifadhia vifaa vya grid ya network... how about that? How do you know ni nyumba ya mtu?Usalama upo wapi hapa wa huyo mwenye nyumba?
Hii ni kukosa mawasiliano kati ya TANESCO na Mamlaka za serikali za mitaa (Halmashauri za miji, majiji au manispaa). Kimsingi TANESCO anatakiwa apate kibali/Ruhusa ya kuweka nguzo kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa, kwa mazoea huwa hawafanyi hivyo, na kibaya zaidi wakati wa matatizo kama haya, ikionekana kuna haja ya kutoa hiyo nguzo, Mamlaka hizi, yaani manispaa au jiji inabidi iwalipe TANESCO gharama za kuhamisha nguzo hiyo,,,,,,,,,,,,TANZANIA TANZANIA,,,,,,,,,,,,,,,,,
View attachment 69288
Wakati mwingine nashangaa sana nji hii!!
Huko kipande ya Makongo support ya nguzo inajengewa ndani ya nyumba.
Sasa hizo nguzo za umeme zikioza zitatolewa vipi?
sio nyumba, ni power depot ya TANESCO kujifadhia vifaa vya grid ya network... how about that? How do you know ni nyumba ya mtu?