Nani kati ya Vijana wa kitanzania wa kuanzia 1970? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kati ya Vijana wa kitanzania wa kuanzia 1970?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asha Abdala, Dec 22, 2007.

 1. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Najua JK hatapita kura za maoni 2010.Inaonekana wazi, mwaka 2010 Rais wa nchi atakuwa kati ya hawa wafuatao: Freeman Mbowe, John Magufuli, Mark Mwandosya, Bernard Membe ama Asha Rose Migiro. Na yoyote kati yao akishinda ni wazi ataendelea mpaka 2015.

  Swali langu: Nani kati ya vijana hawa kuwa Rais mwaka 2020? Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Ridhwan Kikwete, Dr. Hussein Mwinyi, John Mnyika, Mwanakijiji nk. Ni wazi Rais wa wakati huo atakuwa amezaliwa kati ya 1970 na 1980, ama chini kidogo ya hapo.
   
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2007
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  You are greatly mistaken.Sadly Kikwete, saving the hand of god or the proverbial "peeing in his pants" will continue the CCM tradition of serving 2 terms.

  Who is going to stop him? How? I will be more than glad to see a plan.And do not fantasize kwamba atajiachia madaraka mwenyewe, ukubwa mtamu bwana kila anapoenda watu wanampapatikia si kina Andrew Young na Sinclair mpaka waswahili wa Chalinze.

  Weeeeee!
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2007
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Na mimi MADELA WA- MADILU nitakuwemo kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka 2020, Count me in.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 23, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hold up...wait a minute...Mwanakijiji...a '70s baby? No way..
   
 5. John Mnyika

  John Mnyika Verified User

  #5
  Dec 23, 2007
  Joined: Jun 16, 2006
  Messages: 715
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Yamekuwa hayo tena! Hapa, No comment. Tukutane kule FOCUS 2010

  JJ
   
 6. N

  Nurujamii JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2007
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo hesabuni 2015 ndio tunapata rais mpya; halafu anayefuatia ni 2025. Hata hivyo, uwezekano mkubwa sana CCM bado watachukua 2015. Upinzani ukifanya vizuri basi zamu yao kwa uhakika itakuwa ni 2025. Wakikosa hapo ni hadi 2035!! Na hapo sasa kina Madilu, MKJJ, Lipumba, Mrema, hata Mbowe watakuwa wameshaondoka duniani au ni wazee wa kutolewa nje kuota jua na kurudishwa ndani! (Kidding)
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2007
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Good idea,dont forget my name in your team of campaign
   
 8. H

  HAM Member

  #8
  Dec 25, 2007
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwanini mnawapigia hesabu akina Mnyika,Kabwe na Ridhwani ilihali watu ata wakiwa wazee hawataki kuacha madaraka.Kibaki mzee lakini anataka rudi tena madarakani,sikuambii akina Ngunge na Mugabe.
   
Loading...