Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Maskini bibi,i love ma mum very much ooooo!
Mkuu unamaanisha wababa huwa hawawapendi watoto wao kama kina mama?wakija wenye vifimbo ndani ya surualiutasikia ooh mwanangu mwanangu chezeiya maza weye,viva mama
Ni Kweli mkuu Bujibuji umenena!ingawa exceptions zipo,kuna baadhi ya kina mama hawawapendi kabisa watoto wao!Mama ni mama, and always she will be there for u.
Mama hana unafiki.
Mungu awabariki na kuwaongezea siku wamama
wanaweza kuwapenda hata kuwazidi akinamama lakini hawawezi kuwajali kuwazidi akinamama,mama anaweza kuhangaika na mtoto mwenye maradhi ambayo wengi wa binaadamu tutamwogopa mtoto huyo lakini sio baba,mama atakomaa mpaka aone mwisho wa mwanae.vile vile ni mara ngapi umewasikia akina baba wakiwatoroka wakina mama kwa sababu labda ya kuzaa watoto tofauti.labda kilema au ana mtindio wa ubongo.mara nyingi wababa hukacha na kuwaaacha akina mama wakisota.mama ni mashine ya kuukamilisha mfumo wa uumbaji wa mwenyezi mungu viva mama popote mlipo ulimwenguni.Mkuu unamaanisha wababa huwa hawawapendi watoto wao kama kina mama?
Sawa mkuu,hapo nimekusoma vizuri!wanaweza kuwapenda hata kuwazidi akinamama lakini hawawezi kuwajali kuwazidi akinamama,mama anaweza kuhangaika na mtoto mwenye maradhi ambayo wengi wa binaadamu tutamwogopa mtoto huyo lakini sio baba,mama atakomaa mpaka aone mwisho wa mwanae.vile vile ni mara ngapi umewasikia akina baba wakiwatoroka wakina mama kwa sababu labda ya kuzaa watoto tofauti.labda kilema au ana mtindio wa ubongo.mara nyingi wababa hukacha na kuwaaacha akina mama wakisota.mama ni mashine ya kuukamilisha mfumo wa uumbaji wa mwenyezi mungu viva mama popote mlipo ulimwenguni.
Duh1macho mekundu yamewaponza vikongwe wengi sana!Angekuwa kule kwetu SHY ashapigwa mishale kipindi tuu eti UCHAWI.
I luv ma mom.
wakija wenye vifimbo ndani ya surualiutasikia ooh mwanangu mwanangu chezeiya maza weye,viva mama
Teh teh teh!hujui vifimbo!!Halafu wewe....., vifimbo.!???
Mkuu hapo anapaswa kuwa your dad!kwa sababu anayehudumiwa hapo ni mwanaume wa miaka 60!