Nani kama Magufuli?

Aisee
Inaonekana huko kwenu ni maporini hasa
Sasa hujui kama hao wamekuja kuwajengea kisima, ina maana hawaruhusiwi kulala gesti
Hebu rudi mapokezi upokee wageni, acha unoko
 
Tofauti yake na Samia ni 18% au 14%? (84% kwa 98%)!
Au vigezo tofauti?
 
Magufuli anazidi kupendwa angali kaburini, ukiangalia social media nyingi bado video na audio clip za Magu zinatrend ! hata Mange Kimambi aliwahi kukiiri katika moja ya post zake kuwa ilikuwa ngumu kupambana na Magu maana alipendwa na wananchi wengi kuliko huyu wa sasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…