Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?

Wahusika saidia hiyo Heading isomeke baada ya KUTOA
Mimi nilijibiwa muda huo huo kwa kutumiwa namba ya NIDA(kitambulisho)

Ni kwamba utajibiwa kwa kutumiwa namba ya kitambulisho kama kitambulisho chako kipo tayari
 
Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?

Wahusika saidia hiyo Heading isomeke baada ya KUTOA
NIDA kupitia huduma ile Ni utapeli mtupu....sijawahi kupata majibu zaidi ya kuliwa pesa kila siku...
 
Back
Top Bottom