wanikulu huwa hawajificha saaana hasa wa siku hiziHuwa sipendi picha za wakati wa maakuli maana uso unakuwa unazungushwa na mdomo juu chini kulia kushoto. ... sasa hujui camera itapiga wakati uso umeviringwa upande gani.
Hapo nimewaona wanikulu wawili...
Wapili mkono wako wa kushoto ukiwa unatazama pichanani kafunika
Unamaanisha wala ftari wanakuwa chini na mkeka unakuwa juu yao?Futari inaliwa chini ya mkeka .
Your honor wee mstaarabu kweli....Huwa sipendi picha za wakati wa maakuli maana uso unakuwa unazungushwa na mdomo juu chini kulia kushoto. ... sasa hujui camera itapiga wakati uso umeviringwa upande gani.
Hapo nimewaona wanikulu wawili...