Nani imewahi mkuta hivi?

Kwenye level ya kuachana na mpenzi wako wewe upo kwenye 'denial' unatamani ila nafsi yako inagoma . Kwa watu wa chemistry wanaweza kufananisha na Activated Complex, we are not so sure to expect for products as the truth is anything can happen
 
Subiri kidogo, mwenyewe utaweka tangazo la kuuza maziwa au ice-cream.
 
Wewe lazima tu utakuwa mwembamba...
 
Huezi muelewa huyu dada kama hujapitia hii hali btw tunatofautiana namna ya kuhandle maumivu so dont judge her.
Take your time girl don rush ukiwa ready kupenda penda polepole n ukuwe carefully


Mim nnahisi nnaelekea kuwa beast ole mtoto wa mtu ajiloge[emoji23]
 
Mazee, tumwambie ukweli huyu demu au tumwache tu!!
 
ushafanyiwa ukatunduze sio bure
 
Wewe ni aina ya mwanamke mwenye Ego sana
Wale mnaojiona cake sana kiasi kwamba hata ukiwa na mtu anajua umempendea kitu flani sio really love
Sasa akishajipakulia vya kutosha huyooo! anajiondoa anawaachia wengine waje wapambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…