Nani imewahi mkuta hivi?

Ukiona hivyo ujue umekuwa "meme" uanazopenda kuzipost

You are what you eat
 
Ishara ya kwanza ya binadamu mpweke kwa Karne hi ni kupost picha nyingi status .sizungumzii wafanya biashara wanao post bidhaa.

Hivyo dada yangu nikuambie tu ukweli wewe ni mpweke Sana na jiangalie Sana maana bado kidogo utafika hatua ya kujikataa na ukifika hapa utajiona huna thamani yaani utaona maisha hayana maana kabisa kwako ambayo ni stage hatari kwako ...Cha kufanya ni pm
 
 
Kama kichwani ndio umejaza mikolokolo ya " u known me, within, but love ata si enjoy, I can't fell moment si una jua but, " utatom#bw*a na kuachika tu
 
You need a psychological help ASAP. You real loved that dude and what yo going through right now is resulted from breaking with him up unexpectedly.
 
Kama kichwani ndio umejaza mikolokolo ya " u known me, within, but love ata si enjoy, I can't fell moment si una jua but, " utatom#bw*a na kuachika tu
Hahahaha mpe ushauri hata kidogo😂😂😂
 
Imegota ...try to let it go...with time itatoweka hiyo hali lakini kibaya ni kwamba inaweza kukuachia damage kubwa kihisia..Am sure uko below 25...fanya mengine kwasasa usizidi kuziumiza hisia..zikipata ulemavu wa kudumu utageuka kuwa man hater na unaeza kuingia kwenye usagaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tatizo la kisaikolojia, unahitaji kuongea na mtaalam akusaidie kupona haya majeraha ya kihisia uliyonayo
 
Ungeandika kiswahili wengi wangeelewa
 
Mrudie jamaa inaonekana bado unampenda sana. Duniani tunaishi mara moja tu enjoy every moment!
Akimrudia jamaa lazima alipe kisasi kwa majibu ya hovyo aliyokula...
 
.....jamani mtu akiingiza Ayo Mambo najikuta nachukia adi nakosa pumzi......
Mimi mtu akiwa ana post ma Meme zaid ya 3 kwenye status huwa Nachukia sanaa..

Halaf hilo suala la kukosa pumzi angalia isije ikawa changamoto ya upumuaji..chukua tahadhari usije ukaambukiza wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…