Nani Huyu? Zawadi Nono kutolewa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Huyu? Zawadi Nono kutolewa!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by LeopoldByongje, Nov 11, 2010.

 1. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani uchaguzi umeisha. Tunarejea kijiweni MTAA KWA MTAA

  Je unaweza kumtambua huyo mwenye miwani na grini vesiti ya Kijani??
  [​IMG]
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Huyu ni Lau Masha...haya nipe Zawadi Nono yangu
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huyo ni Andrew Chenge!
   
 4. C

  Chamkoroma Senior Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu ni mbunge wa Nyamagana wakujifanya anaweza zima moto wa peoples power, aa! hakuna uchaguzi tena nasubiri kuapishwa nakwambia hawatarudia tena muda mwingine,
  Fisadi kaumbuka atauona mjengo kwa mbali au awe mgeni wa RA& EL akiwapa madokezo ya kifisaidi aliyoficha.
  Asant Mungu wataumbuka hapa hapa
  duniani.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu si LAU huyu na Njaidi..huyu Njaidi si alikuwa na soo marekani imekuwaje?
   
 6. Double X

  Double X Senior Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni masha na dj bonny love
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Daudi Balali baada ya palstic surgery....hapa yupo mzalendo pub
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  HUYU NI lau Masha na bonny anamzomea anamwambia kiboko chako chadema
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :.....grini vesiti ya kijani?????????????????
  Whaaaaaaaat??????????????
  Swali halieleweki ni zawadi hiyo.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahahaha haki umenichekesha kabla siku haijaisha :smile-big:
   
 11. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  huyo l. masha, ndo zao na jk... eti ndo viongozi hao... bull sht!!!!!!!!!!!
   
Loading...