Nani huyu jamani

huyu jamaa akijiona huku... na hizi discussion unafikiri atajisikiajee!!
 
Kweli kabisa, mbona wao huwa wanatupia picha za wanawake wakali sie hatujanuna jamani!!
Sasa mtu kutupia picha wanakereka!! Au wana interest zao hivyo inawauma!!!
Halaf sisi wala huwa hatuchukii,,ila sasa tukirusha sie utasikia malayaa ooh hili neno malaya mi mpaka lishanikinai watafute jipya,, espy umemuona docta lakin vizuriii
 
Itakua wanamtaka mama Saby! Ko anavyompost Dr wanaloose hope[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahahahaha lazima utafikiria hivyo haki tena huwezi kuwa unakasirika tu hovyo ,,na nitawafurahisha
 
Halaf wanaume wazuri wazuri hamchukiii wale wenye sura mbaya sasa aaaa wanataka kupasuka jamani
Inferiority complex tu. Na hivi unaendelea, watakunya kwa hasira. Lakini haitawasaidia kitu. Sura kama ni chungu ni chungu tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inferiority complex tu. Na hivi unaendelea, watakunya kwa hasira. Lakini haitawasaidia kitu. Sura kama ni chungu ni chungu tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mtu mwenye sura chungu akikasirika mama weweee
Nacheka mimii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…