Nani huyu jamani

Mama Sabrina mbona unaonekana kama limbukeni na unashoboka nhuyu mariooo!!! Utadhani umebikiriwa juzi!!! Kumbe Gwiji mtoaji!!!
Au umetumwa umfanyie promo huyu marioo hapa JF!!! Acha utoto; unajishushia heshima hata kama hatukujui physically!! Tangu juzi umekomaa na promo ya huyu marioo!!!
Stupid!!
 
usiwe unafungua nyuzi zangu utazidi kereka sana bro,mim sihitaji heshima ya mtu maana hazinisaidii,ukitaka nawe njoo nikugaiwe baba
 
Jibwakoko..! Unanikera pakashume waheed
 
Anakukera wewe kama nani? Mtu anaishi maisha yake halafu wewe unachukia?? We ndio pakashume
Shangaa Islam yaan nashangaa halaf nawakera lakin bado wakiona nyuzi zangu haooo mbiooo kuja kusoma na kukereka si waache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…