Nani hapa anazingua wenzake?

Nani hapa anazingua wenzake?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Boss alimpigia simu secretary wake kwamba wanaenda trip wiki ijayo,secretary akampigia mme wake simu kwamba hatakwepo kwa wiki moja atakuwa yupo kwenye trip na boss.
mme wa secretary akampigia hawara wake simu kwamba aje nyumbani wawe pamoja mkewe kasafiri,hawara akampigia simu mwanafunzi wake anayemfundisha kwamba hatamfundisha mpaka baada ya wiki moja,mwanafunzi akampigia simu babu yake (boss),kwamba hamna shule kwahiyo atakuja nyumbani kwa wiki mmoja,boss akampigia simu secretary wake kwamba hamna trip tena,secretary akampigia mmewe kwamba trip imeahirishwa,mme akampigia simu hawara kwamba asije mmke kaahirisha safari,hawara akampigia mwanafunzi wake kwamba shule ipo kama kawaida,mwanafunzi akampigia babu(boss) kwamba siji tena shule kama kawaida ipo.Boss akampigia tena secretary kwamba tuna trip kama kawaida.


WHO CONTROLS THIS CHAIN???
 
Ha ha ha ha! Mkuu Excellent hapo umetisha. Kweli hapo hali ya hewa haifai tena.
 
Last edited by a moderator:
hiki kisa ni kama kile cha kuku na yai kipi kilianza,hapa boss ndio mpango!
 
Hapa hawara ndio anazingua wenzake kwanini akatishe tution ina maana anataka atumike na mume wa mwenzie mchana&usiku??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom