Nani fundi zaidi hapa?

Gaucho balaa lingine na nahisi mleta maada pia hamjui gaucho.... asingemchanganya na hao wapumbav kam angekua anamjua...
 
Ronaldo de lima aliharibu kwa namna alivyotundika daluga,ni kama hakuwahi kuwa serious kwa yote aliyowahi kuyafanya.
 
Ronaldinho Gaucho ni zaidi vipaji vyoote vilibyowahi kutokea ktk mpira wa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…