Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,257
- 34,553
We bashite nn?Messi
Aiseeeee kwa sie tuliozaliwa miaka ya 80 gaucho ni dunia nyingineGaucho ni noma asee. Cheki balaa yake hapa
Ronaldinho amewahi kuwa mchezaji bora wa dunia kama mara 3 hivi kama sikoseiKatika dunia hii ni mchezaji bora mmoja tu ambaye hajawahi kuwa mchezaji bora wa dunia (RONALDINHO).