Nani ataukwaa U-chief justice

Huyu wa TISS aliokotwa wapi? maana anaonekana Bongo lala vile katika mda wake siri za Sirikali zimevuja sana!
 
Mbona Yule wa Polisi na CDF walikuwa ndugu mwamuntange? Kama jamaa ana sifa na wenzake katika mahakama wana muona ana sifa hizo, basi ni vizuri tumuachie Raisi afanye kazi yake, lakini ikiwa hana Sifa basi asipewe kwa kuwa hana sifa. lakini hili la undugu sioni tatizo lake. walikuwepo Mboma , Mwamunyange , nk nk. Mwatumu Mahiza nk , sema kufanya Ofisi moja ndio kunaweza kuleta taswira tofauti.
 
CJ wa Tanzania?Nchi haina uhuru wa Mahakama hata kidogo.
Mahakama zimeshindwa kumtupa fisadi hata mmoja KEKO!

Wenzetu kama USA ,wateuzi wa RAIS lazima wawe confirmed na Senate!!
Kama CJ ,wataangalia rulings/kazi zake tangu akiwa magistrate etc.

Lakini Tanzania,ni kupeta tu.I dont think CJ anasaidia chochote Tanzania.
Mtu wa kijijini anaweza kusihi bila ya huyu mteule wa RAIS
 
CJ wa Tanzania?Nchi haina uhuru wa Mahakama hata kidogo.
Mahakama zimeshindwa kumtupa fisadi hata mmoja KEKO!

Wenzetu kama USA ,wateuzi wa RAIS lazima wawe confirmed na Senate!!
Kama CJ ,wataangalia rulings/kazi zake tangu akiwa magistrate etc.

Lakini Tanzania,ni kupeta tu.I dont think CJ anasaidia chochote Tanzania.
Mtu wa kijijini anaweza kusihi bila ya huyu mteule wa RAIS

Kabisa kabisa...hana useful purpose. Anakula cha juu chake bila jasho.
 
Kwenye nafasi nyeti kama hizi za dola huwa hakuna conflict of interest. Kwa mfano bahati mbaya ibilisi akiwaingilia hawa mabwana mbao mnasema ni ndugu wakaamua kuside against rais katika jambo fulani rais atakuwa katika wakati gani. Au tuseme hivi afisa wa tiss akipewa kazi na boss wa tiss ya kumchunguza cj ambaye ni mdogo wa boss ataweza kumsemea mdogo wa boss kwa kaka yake na akabaki salama si lazima ndugu watalinda. kama ni kweli busara inahitajika sana katika kufanya maamuzi yeyote kuhusu hili.

Niwakumbushe kuwa Tanzania kuna ujinga mwingi wa aina hii umewahi kufanyika, kuna wakati Waziri aliteuliwa kuongoza wizara na mdogo wake akawa katibu mkuu, wakati wa utawala wa Mkapa.Mnakumbukaaa??????
 
HUU NI WAKATI WETU SASA WAKRISTO MSAHAU KUHUSU HII NI NAFASI HII NI NAFASI NYETI SANA NA NI LAZIMA APEWE MUISLAM MWENZETU ,ANAEONDOKA ALIKUWA KIKWAZO PIA KWENYE ISSUE YA MAHAKAMA YA KADI SASA MAHAKAMA HII ITAKUJA jk NAKUAMINI MKUU WEWU TUCHAGULIE WALE MMOJA KATI YA WALE MABOLD TIMOR WA KIISLAM WALIOPO PALE PLS PLS


Hiyo Avatar yako mmmhhh!
Inaonyesha wewe mdini.
 
Japokuwa nakula nguruwe(kitimoto) na bia, lakini ni zamu yetu waislamu...!!!!!!!!asalam aleykhum wallahktubal wabarakat.....
 
Kwangu kwa likatiba hili yeyote na aje tu kwangu wote ni yale yale tu. Kiama yao itakuja tukishapata katiba mupya. Hivi huyu anayeondoka atabaki anajivunia nini vile? tukumbushane........!!
 
He was a puppet!
muache kumsingizia kuhusu anglican zanzibar ametoa ushauri na si lazma kufatwa hamna mahali ambapo kanisa liko binded kufuata ushauri wake! kama waliopendekezwa woote ni vilaza mnataka achague tu ilimradi kuwaridhisha? hataa kila mtu si mbayuwayu ati...
 
Namfahamu, Hon.Judge Dr.Bwana, ana falsafa na misingi kama ya Former CJ, The Late Hon.Judge Francis Nyalali. Anafaa kuwa CJ.
 
nataka kuwauliza hao wanaodai huu ni wakati wao kwani mahakamani kuna kuswalisha? tatizo la hawa jamaa wanataka kila madaraka wapewe wao wakati hawataki kusoma na nashangaa wanadai mahakama ya kadhi ili iwasaidie nini? kwani mahakama za kawaida haziwapi haki zao? sasa hawataki kusoma nani ataendesha hizo mahakam zao? sidhani kama hakimu au jaji ataacha kutumikia umma akajiunge na mahakama za kadhi kama wanavodai. mda huu wawaze kujenga mashule na kuinua uchumi ili kujitoa umaskini na sio kulalama tu. Kwetu sie atakaekuwa CJ namuunga mkono awe musilamu au mkristo ni sawa. CJ anaendoka hakuna sehemu yoyote anayopinga mahakama ya kadhi. Huu ni mhimili pekee ambao Rais ndo anachagua na haya ni maoungufu ktk katiba kuwa iweje mkuu nchi amchague CJ? Lazima achague asiepingana nae tofauti na spika ambae lazima apitishwe na wabunge.Tunajua jaji mkuu atakuwa ni mtu mwenye vigezo hatujali raisi na makamu wake wote ni waislamu hata jaji mkuu kama akiwa hivo hivo tunachoangalia ni utendaji wao kwa wananchi.Wakristo wanaendelea kwa sababu hawana majungu ya kijinga wanawaza zaidi kusonga mbele.Tuwe kama wao.
 
Niwakumbushe kuwa Tanzania kuna ujinga mwingi wa aina hii umewahi kufanyika, kuna wakati Waziri aliteuliwa kuongoza wizara na mdogo wake akawa katibu mkuu, wakati wa utawala wa Mkapa.Mnakumbukaaa??????

Aaaaa! Kama sjakosea ni Asha-rose na Mwantum Malale, hta zenj ilishawahi tokea hyo!
 
Do not waste your time kikwete ni mdini the next cj atakuwa muislam nae ni othman chande kwisha!!!
 
Back
Top Bottom