Namfahamu, Hon.Judge Dr.Bwana, ana falsafa na misingi kama ya Former CJ, The Late Hon.Judge Francis Nyalali. Anafaa kuwa CJ.
The best credible choice would have been Justice Harold Nsekela who currently sits as an appellate judge. Huyu bwana juu ya yote ni mwalimu wa hao wengine wote mliowataja, pengine ukristo wake ndio iwe issue itakayomkwaza mkwere!!