Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,390
- Je Wema Sepetu anavuta Bangi?
- Je Steven Nyerere ndiye aliyesimamisha Bunge kwa siku moja kumjadili Paul Makonda?
- Je Nape Nnauye ndiye aliyempa mafuta Steven Nyerere ya kuweka kwenye gari lake na kurejea Dar?
- Je Stephen Nyerere alikutana na Mbowe na Zitto kwa pamoja kupanga mikakati ya kumsulubu Makonda?
- Je ni kweli kwamba watu wanamkomoa Paul Makonda kumzushia tuhuma kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na masogange?
- Je ni kweli Stephen Nyerere anataka kuzaa mtoto na Mama yake Wema Sepetu?
- Je ni kweli Wema Sepetu anahamia CHADEMA kwa kununuliwa?
- Je ni kweli kwamba CHADEMA walikuwa wanamlipa Wema Sepetu dola laki mbili uchaguzi mkuu wa 2015
- Je ni kweli kwamba Steven Nyerere anatishwa na Paul Makonda?