Nani atapigiwa mizinga Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue
 
  • Thanks
Reactions: Gor

Zanzibar ni nchi, si nchi?!
 
Jibuni maswali ya msingi nani atapigiwa mizinga kama mkuu wa majeshi?
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue

Kwani miaka yote anapigiwa nani
 
Katiba mbovu inayojichanganya
Kumbe J K sio Amiri jeshi ZNZ?
He uwanjani wa mwisho kuingia ni nani na pia wa kwanza kutoka ni nani?
Hapo ndio tutajua zbr ni nchi au sehemu ya muungano
 
rais wa wazanzibar ki amri jeshi mkuu wa vikozi maalumu na mkuu wa nchi ya zanzibar hivyo kwa mantiki hiyo zanzibar nchi kama zilivyo nchi zingine acheni bla bla za ccm
 
Back
Top Bottom