Nani atapigiwa mizinga Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar?

Rais Mugabe aliwahi kulaani kupigiwa mizinga 21 Dar na mingine 21 Zanzibar!
Sidhani kama amepata kuelewa dhana ya muungano wetu. Sisi wenyewe ni utata mtupu, je mgeni itakuwa vipi?
Tanganyika irudi haraka!
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue

Huyo atakayepigiwa siku hiyo ndiye huyohuyo,unauliza maswali kama ya mafarisayo waliokuwa wanamuuliza Bwana Yesu.
 
rais wa wazanzibar ki amri jeshi mkuu wa vikozi maalumu na mkuu wa nchi ya zanzibar hivyo kwa mantiki hiyo zanzibar nchi kama zilivyo nchi zingine acheni bla bla za ccm

.... Mkuu Umenichanganya Kidogo. Vikozi Maalumu Ndo Nini. Unamaanisha Kozi Za Chuo Au?
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue
Kwani KATIBA ya Zanzibar inasemaje?
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue

Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, rais wa Zanzibar.
 
sasa ukweli utadhihirika jumatatu kama nchi hii kuna rais wa mungano au la,maana kama tuna serikali ya jamhuri ya muungano lazima atapigiwa rais wa jmt maana yeye ndio aimiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya jmt.lakini kama muungano wetu ni wamagumashi lazima apigiwe rais wa nchi husika ambaye ni dr shein rais wa serikali ya umoja wa kitaifa na mkuu wa nchi ya zanzibar.wajumbe wabunge maalum la katiba mpo?
 
Iko siku watu wataamua baada ya hawa vilaza wote kuisha hapa duniani. ccm=uongo =zero
 
Mimi mpaka kesho nauchukia sana huu muungano wa tembo na sisimizi
 
Nimesikia kwenye vyombo vya habari jumatatu ni sherehe ya mapinduzi zanzibar na mh sana jakaya mrisho kikwete rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar atakuwepo swali je nani atapigiwa mizinga ya mkuu wa majeshi?naombe msaada nijue

Umbeya mtupu. Kama huna topic ya maana, nyamaza kimya forever and ever
 
Back
Top Bottom