Nani atapigiwa mizinga Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar?

Umbea gani wakati kauliza swali la msingi? Na wewe lazima utakuwa 'HAMNAZO'!

Wewe unajua kabisa, dr shein ndio atapigiwa mizinga, halafu unaleta swali kama hili. maana yake nini? haya ni maswali ya wanawake kwenye kitchen party au salon.

 
atapigiwa jk,refer kesi ya uhaini/treason ya s.m.z v. saidi machamo na wenzie 17 ambapo inasema wazi zanzibar sio nchi huru/sovereign state hivo washitakiwa hawawezi kupindua nchi isiyotambulika,hivo wako huru
 
Huyo uliyemtaja anaenda kama wageni wengine. Rais wa serkali ya mapinduzi yupo; wimbo wao wa taifa upo; bendera yao ipo; sarafu tu bado.
Duh, mamndenyi, sasa mbona kila siku wanasema zanzibar siyo nchi? CCM bhana, wizi umewajaa, ndo kukataa serikali tatu kwa staili hii kumbe mambo yako wazi? Hovyo kabisa hawa jamaa wanakotupeleka sio kuzuri.
 
rais wa wazanzibar ki amri jeshi mkuu wa vikozi maalumu na mkuu wa nchi ya zanzibar hivyo kwa mantiki hiyo zanzibar nchi kama zilivyo nchi zingine acheni bla bla za ccm

nchi ya kwanza isiyokuwepo kwenye ramani ya dunia
 
Kuna nchi nyingine dunia ina wakuu wa majeshi wawili?
 
Rais wa Muungano akiwa Zanzibar si chochote yeye, ni raia wa kawaida tu. Amiri jeshi wao yupo.
 
Back
Top Bottom