Polisi ben
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 303
- 83
Uvumilivu umekwisha nani anitulize hebu njoo mdada njoo,ctaki kuvunga njoo.
Uvumilivu umekwisha nani anitulize hebu njoo.
Utulizwejwe.......?hebu fafanua ukidadavua na jinsia yako tafadhali
Nataka kupendwa TEDO nimechoka kuwa mwenyewe nataka mdada humu anayejua kulea,unajua cjawahi kubembelezwa aaah nataka kubembelezwa bhana
ngoja nimuelekeze aende kwa mimisa!
shemeji unasemaje vile. alafu umeamka salama?
ngoja nimuelekeze aende kwa mimisa!
Utulizwe kwani we mpira?
Kama wewe ni polisi labda kajaribu kwa fisiemu kule utawapata sana kina zidumu fikra sahihi za cheamani. . . Ngoja Nicas Mtei aje akupe ufafanuzi riafande.
amtafute Mwigulu. Mwenzie Mapamba ameshatulizwa
Kama wewe ni polisi labda
kajaribu kwa fisiemu kule utawapata sana kina zidumu fikra sahihi za
cheamani. . . Ngoja Nicas Mtei aje akupe
ufafanuzi riafande.
Arushaone unanitaka nyoosha maelezo tu unazuga nn?
Kama wewe ni polisi labda
kajaribu kwa fisiemu kule utawapata sana kina zidumu fikra sahihi za
cheamani. . . Ngoja Nicas Mtei aje akupe
ufafanuzi riafande.