Nani atanipenda humu

Nani atanipenda humu

Wewe usilete mambo ya ajabu humu ndani ukatuchafulia hali ya hewa



Manoa acha papara Arushaone kanidhalilisha kuniunganisha na Mwigulu upuuzi gani huo mm na magamba wapi na wapi
 
Agush njoo umuone mwenzako. Kumbe mpo wengi siku hizi?


Nicas Mtei
mkuu nitake radhi kwa kunifananisha na Mwigulu hii dharau mbaya sana kwa hiyo mm ni miongoni mwa magamba sio UTANI MWINGINE WA KIPUUZI acha kabisa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei
mkuu nitake radhi kwa kunifananisha na Mwigulu hii dharau mbaya sana kwa hiyo mm ni miongoni mwa magamba sio UTANI MWINGINE WA KIPUUZI acha kabisa mkuu

Si unataka kutulizwa? Mwampamba na Shonza wameshatulizwa. Na wewe mtafute Nchemba akutulize
 
Mkuu kua na ustarabu basi wenyewe humu tuna heshimiana sana humu ndani na hauwezi kuta tuna tamkiana maneno mabovu kama wewe unayo yatoa
Kajibu kama demu me nikajua ndo wale wale ngoja nione kama atajikausha asinitake radhi kunifananisha na Mwigulu
 
umeona eeeee
mi ngoja nisepe nitarudi baadae!
kuona yaliyojiri!
 
Back
Top Bottom