Nani atalinda maslahi ya Rais Jakaya Kikwete akistaafu?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
CCM yote ni wachafu, lakini hakuna upuuzi ulio upuuzi mtu. Leo wanaCCM wamekomaza shingo wanasema wanatafuta mtu aliye msafi ili aliokoe taifa, hii ina maana kuwa rais aliyepo sio mwadilifu wala msafi na kaliharibu taifa (kwa tafsiri ya WanaCCM hasa watia nia).

WanaCCM wanaujua moyo wa Kikwete unawaza nini? Wanafahamu kuwa rais ni mzoefu wa kutenda asichoongea na kuongea asichokitenda? (kumbukeni Katiba Mpya, Richmond n.k.)

Nimemsikia rais pale Dodoma, nae akitangaza wazi kuwa anamtaka mgombea wa CCM aliye msafi kuanzia utosi mpaka unyayo. Najiuliza sana, hivi rais anafahamu vema kuwa maslahi yake yapo hatarini ikiwa atapatikana mtu aliye tofauti na yeye kihulka na kimaadili?

Katiba ya nchi inayompa kinga rais ambayo ndio kichaka cha viongozi wetu, rais Kikwete anafahamu kuwa inaweza kubadilishwa ndani masaa 48 tu baada ya kuapishwa rais huyu msafi na mwadilifu ili JK awajibishwe?

Nani atalinda heshima na maslahi ya rais Jakaya Kikwete kati ya waliotangaza kuwania urais na wale wanaotajwatajwa?
 
Ccm wote ni wachafu lkn kwa jk nafikiri na naona anatamani sana membe apite maana ataendelea kuwa linda jk $ family
 
Dogo kwa kuspeculate tu ...ujambo..assume...everything is zero
 
Ccm wote ni wachafu lkn kwa jk nafikiri na naona anatamani sana membe apite maana ataendelea kuwa linda jk $ family

Uhuru wa kuongea,endelea tu I think haya ni matunda ya Rais JK ndo maana unaweza kusema utakavyo kumhusu rais wako bila adabu muda unakuja baada yanOktoba utajuta wewea.
 
Dogo kwa kuspeculate tu ...ujambo..assume...everything is zero

Mungu atabadili moyo wa Rais ajaye ili hawa wezi wahughulikiwe kuanzia mkapa hadi JK... Wamekwiba kupitiliza.

Tulia wewe unasahau sehemu unayolala, uhuru wako huenda ukaishia Oktoba 2015 umezoea kulipuka sijui utaongelea wapi! Thanx Jk Kwa kuwavumilia hawa hawajui walitendalo ila daima watakukumbuka baada ya Oktoba 2015.
 
MEMBE
ila JK akitaka aman ni bora ashawishi ateuliwe makongoro kwa kuwa makongoro anaonekani atawabana watendaji ndani ya serikali ya TANO i.e hatajihusisha na yaliyopita bali atajihusisha za zama mpya tu
 
Unajifanya hujui hata Mamlaka yako mwananchi,Jukumu la kumweka Rais madarakani ni lako mwenyewe kupitia sanduku la kura!
 
Tulia wewe unasahau sehemu unayolala, uhuru wako huenda ukaishia Oktoba 2015 umezoea kulipuka sijui utaongelea wapi! Thanx Jk Kwa kuwavumilia hawa hawajui walitendalo ila daima watakukumbuka baada ya Oktoba 2015.
Da wakukurupuka ...umeshindwa kusoma chini ya mstari...
 
Katiba ya nchi inayompa kinga rais ambayo ndio kichaka cha viongozi wetu, rais Kikwete anafahamu kuwa inaweza kubadilishwa ndani masaa 48 tu baada ya kuapishwa rais huyu msafi na mwadilifu ili JK awajibishwe?

Nani atalinda heshima na maslahi ya rais Jakaya Kikwete kati ya waliotangaza kuwania urais na wale wanaotajwatajwa?

Hapo ndipo mtihani mkubwa kwa JK kuliko huu wa Vikundi vya wanachama wa watiania,
Homa inazidi kuwa juu ukiongeza na dozi hii ya UKAWA.

Hali tete iliyomkumba Ben wakati wa 2005 kumpitisha yeye JK safari ni zaidi ya hapo.
 
Nimekurupuka nini andika mambo yanayoeleweka twende sawa!wewe ndo umekurupuka hata husomeki mchango gani huu??
Sasa kama sio GT usikimbilie kujibu bandiko usilo jua...sublia uone wenye kuelewa maana ...shughuri si yako umeivalia kibwebwe!!wewe wawaza ubwabwa to Shekhee Rafikiiii Ubwabwaa!!!Watu wadandia train ati weye wadandia ndege yakheee!!
 
Jibu ni rahisi xana, Lowasa ndo mtu pekee anayeweza kumhakikishia mkuu wa kaya baada ya kutoka Magogoni, pamoja na mambo mengine huyu anajua Jk amefanya nini na wapi, xo akimweka mtu mwingine tofauti na yeye bac Lowassa na kundi lake hata kama watakuwa inje ya system watabaki kuwa threat kwake, hivyo always Jk angependa Lowassa amrithi bila kujali yanayoweza kuwa yametokea kati yao!
 
Hapo ndipo mtihani mkubwa kwa JK kuliko huu wa Vikundi vya wanachama wa watiania,
Homa inazidi kuwa juu ukiongeza na dozi hii ya UKAWA.

Hali tete iliyomkumba Ben wakati wa 2005 kumpitisha yeye JK safari ni zaidi ya hapo.

Predictions!! Hatuishi kwazo Rais anaingia kikatiba kupitia nguvu ya umma najua mawazo yako mgando unataka yawe applicable lakini hujui historia ya Tanzania!tuliza akili acha kukimbiakimbia.
 
Sasa kama sio GT usikimbilie kujibu bandiko usilo jua...sublia uone wenye kuelewa maana ...shughuri si yako umeivalia kibwebwe!!wewe wawaza ubwabwa to Shekhee Rafikiiii Ubwabwaa!!!Watu wadandia train ati weye wadandia ndege yakheee!!
Inaelekea wewe ndo mtoa mada na una ID ZAIDI YA MOJA sasa umeingia zamu kuitetea au umetumwa wewe na kutumika, kwani huyo Rais anaingiaje kama si kwa mujibu wa Katiba, na Katiba ya sasa 1977 ndo itamuingiza Rais mpya na si vinginevyo hayo mawazo yako ya chini ya mwembe sijui unayatoa wapi!
 
hapo ndipo mtihani mkubwa kwa jk kuliko huu wa vikundi vya wanachama wa watiania,
homa inazidi kuwa juu ukiongeza na dozi hii ya ukawa.

Hali tete iliyomkumba ben wakati wa 2005 kumpitisha yeye jk safari ni zaidi ya hapo.

now i know nilijua unatumiwa wewe,pole sana na umepotea njia kijana.
 
ninachokiona mara zote kwa huyu mwan haram(zao la mchepuko) YERICKO ni speculation.. ila sishangai sana kwani hii ndio hulka ya SACCOS wanaoiwakilisha.
pamoja na dharau zangu kwa huyu mwan na SACCOS yao, lakini nilishasema'' kila goti lazima litapigwa'' hata kama goti hilo ni la mwendawazimu.
hahahahaaaaaaaaaa. mnadhani CCM inaendesha mabo kwa mtindo wa hiyo SACCOS yenu???

HUKU HATA KAMA WATU WANA TOFAUTI, IKIFIKIA MAHALI PA KUSIMAMIA MASLAHI YA CHAMA BASI WOOOOTE HUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA. kila siku mnaomba na kuwazia msambaratiko wa ccm lakini katu haitawezekana na ndio maana itaendelea kutawala hadi uzeeni kwako(kama mungu ataamua kukupa umri mrefu).

by the way, maslahi ya JK yako wazi na thabiti. kumbuka huyu ndiye raisi bora kabisa wa africa katika zama hizi. heshima na hadhi yake kimataifa ni zaidi ya raia yeyote wa africa katiaka zama hizi. chuki ya bavicha kwa JK haiwezi kubadilisha ukweli huu. zaidi tu ni kwamba mnatakiwa muandae sumu tayari kwa kuinywa hapo october ama kwa yule asiye jasiri basi na aandae mabegi yake tayari kwa KUHAMA NCHI.

KAZI YA MBWA NI KUBWEKA
WANAOBWEKA TUNAWASIKIA
SAUTI ZAO ZINAKERA
THIS COUNTRY IS TOO BLESSED TO BE LEFT TO DOGS
BAADA YA OCTOBER, SAUTI ZA MIBWEKO YA MBWA WILL BE A DISTANT MIRAGE
 
Unajifanya hujui hata Mamlaka yako mwananchi,Jukumu la kumweka Rais madarakani ni lako mwenyewe kupitia sanduku la kura!

Unachoonyesha hapa ni nidhamu ya woga + unafiki, utaratibu wa kuchagua kiongozi kwa njia ya kura huo ndio utaratibu unaofahamika, lakini maamuzi nani awe rais yanafanywa na tume isiyo huru ya uchaguzi kwa kushirikiana na dola jeshi la polisi + tiss.

Usilete tabia ya kujikomba hapa ili utoke kimaisha, kama jamaa anasema ukweli ni suala tu la kujirekebisha na sio sijui huna adabu kwa rais wala nini, yeye rais mwenyewe anaruhusu uhuru wa mawazo lakini wewe mpambe unakwazika kama nini.
 
Back
Top Bottom