Nani atakwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru?

Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Kipengele au ibara ipi imevunjwa? Tuwekee hapa tusome. Kama huna acha kupotosha umma.
 
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
It begins with you
 
Wewe mwenyewe ungekuwa wa kwanza kutujuza kuwa unaenda mahakamani..sasa unataka nani aende.

Hiyo shule yako haikusaidii wewe na jamii.
 
Bashiru ni balozi hivyo ni mtumishi wa umma, katiba inasema atokane na utumishi wa umma
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
 
Kipengele kipi cha katiba kimekiukwa? au kila porojo za akina Fatuma mnazingatia?
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
 
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

Hivi unaweza kuniambia ni kifungu gani cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kimevunjwa katika uteuzi wa balozi Dr Bashiru Ally kuwa katibu mkuu kiongozi (Chief Secretary) ????

Au unaandika andika tu !!
 
Nani atachukua hatua za kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Bashiru kwamba umekiuka Katiba?

Kama kweli Katiba imevunjwa basi ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kutafsiri sheria za nchi hii pamoja na Katiba!!

Nani atakayethubutu kufungua Kesi kupinga uteuzi wa Dr. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
Mahakama hii hii inayotii maagizo ya ccm ?
 
Hawatokujibu hao CHADEMA

Hawa wenzetu ni watu wa ajabu sana, hawana facts wao ni ushabiki wa hovyo tu

Uteuzi wa balozi Dr Bashiru Ally kuwa katibu mkuu kiongozi, uko sawa kabisa hakuna kifungu chochote cha katiba kilichovunjwa

Ndio maana mheshimiwa Rais alianza kwa kumteua kuwa balozi ( mtumishi wa umma) na hata kuapa leo alianza kuapa kwanza kuwa balozi na ndipo baadaye akaapa kuwa chief secretary( Katibu Mkuu Kiongozi)

Na hii sio mara ya kwanza kwa balozi kuteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi

Mheshimiwa Rais wa awamu ya nne, Dr Jakaya Kikwete, alimteua balozi Ombeni Sefue kuwa katibu mkuu kiongozi , akiwa balozi wa Tanzania nchini Marekani

Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Magufuli, alimteua balozi Injinia John Kijazi kuwa katibu kiongozi, akiwa balozi wa Tanzania nchini India

Sasa iweje leo kwa balozi Dr Bashiru Ally kuteuliwa kuwa katibu kiongozi ndio iwe ajenda????
 
Sorry mkuu hivi kipengele gani kimevunjwa?

Maana amepewa ubalozi ili awe mtumishi wa UMMA ndo' akateuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
Ninavyojua mimi ni kuwa mtu unakuwa mtumishi wa umma baada ya kupita muda wa matazamio na kuthibitishwa na Utumishi. Sijui kama hii inahusika kwa mabalozi.

Amandla...
 
ILALA KUWA JIJI; RAIS AMEVUNJA KATIBA

Mnavunja SHERIA! Rais hana mamlaka chini ya Local Government (urban authorities) act kutengeneza urban authority. Hii ni mamlaka ya WAZIRI wa TAMISEMI.

Kifungu cha 7 cha SHERIA ya Local Government, Waziri anatakiwa kutoa NOTISI ya miezi 2 kwenye GOVERNMENT GAZETTE na gazeti jengine ili kuwapa wananchi muda wa KUPINGA hayo maamuzi.

Mnavunja SHERIA. Mtu asiye na mamlaka anafanya anavyotaka bila ya kufuata UTARATIBU uliyowekwa chini ya SHERIA. Magufuli akiambiwa AFUATE SHERIA na TARATIBU anapandisha HASIRA halafu anataka kuFIX watu! SHERIA ziko ili tusiwe na CHAOS! Anafanya CHAOS kwa maamuzi ya MAJUKWAA!

Wananchi wakipinga maamuzi ya Waziri, ni lazim Waziri asikilize malalamiko ya kupinga na ayachukuwe manani. Halafu anatakiwa kupeleka Maamuzi mbele la Bunge!

Kwa mujib ya SHERIA, WAZIRI ana lazima ya kutumia DISCRETIONARY POWER yake JUDICIOUSLY! Ina maana kungekuwa na PAPER kutoka WATAALAM kueleza kwanini Halmashauri zivunjwe na itengenezwi 1! Mkiitwa STUPID mnahamamki! Kwanini lakini wakati hamuelewi UTAWALA wa SHERIA?

Fatma Karume
Kifungu gani kimevunjwa? All in all hata kama katiba imevunjwa, unakwenda kwenye Mahakama zipi? Za Ibrahim Juma? Za Stella Mugasha? Ili upate nini? Ninachoomba ni kuwa wakitoka madarakani hukumu za hawa na awamu hii zipitiwe upya na jopo maalum kwa ajili ya kutenda haki
 
Back
Top Bottom