Nani atafungisha NDOA za mashoga Tanzania?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Cameroon kaamua kwa halina mali kuyashika masaburi ya waafrika weney kiherehere cha kuomba misaada ..sasa hizi ndoa zikiruhusia zitafugwa wapi na nani? Kwa imani gani?
Kwa nini hawaendi huko libya egypt na nchi za kiarabu kupeleka hii demokrasia yao
let say ..wazungu wanataka kuanzisha kanisa Tz linalokubali ndoa za mashoga then wana kama US $100 000/=...Hili dili litaachwa kweli na wabongo? ..haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea kweli ..so usipinge kwani wazungu hamnazo
 
mnajifanya hamjui eee..ukitokea mchongo waingereza wakimpa mtu dola laki milioni mia moja si wote mtajifanya wachungaji hapa na kuanzisha kanisa fasta?uongo?
 
Hivi hawa viongozi wa kiafrika wanapona kweli wanapo mangamanga huko majuu kuomba misaada! inatia mashaka! kama wameanza ku-aliye juu usimngoje chini mfuate hukohuko tz.!!
 
Itakua ni Magamba wote! si ndio wenye serikali? au ikija hili la ukameruni wanaikataa serikali kuwa si yao?
 
Cameroon kaamua kwa halina mali kuyashika masaburi ya waafrika weney kiherehere cha kuomba misaada ..sasa hizi ndoa zikiruhusia zitafugwa wapi na nani? Kwa imani gani?
Kwa nini hawaendi huko libya egypt na nchi za kiarabu kupeleka hii demokrasia yao
let say ..wazungu wanataka kuanzisha kanisa Tz linalokubali ndoa za mashoga then wana kama US $100 000/=...Hili dili litaachwa kweli na wabongo? ..haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea kweli ..so usipinge kwani wazungu hamnazo
298263_10150283344671380_513536379_7462883_5097404_n.jpg
 
hahahaaaaaaaaaaaa nimependa iyo foto mana nawezea hadi muondoko loh!@raj patel jr
 
Back
Top Bottom