Lakini hiyo ndio iliyomwokoakhaaa! Kumbe hakuwa baba wa mtoto dereva alicheza fauro
Kama ni mimi ninasamehe usaliti, maisha kwanza!Hatari amani inatoweka jabisa
Ningetamani kujua uamuzi wakeCjui baba atasema afadhali kwani atakuwa kesha nusurika,katambua kuwa yy c baba halali lakini je hapakuchimbika????
Ndio, dingi alichakachuliwa, lakini naamini alshukuru kimoyomoyo kuwa yeye sie baba wa dogo!ha haaa haaa..................so dingi alichakachuliwa na derevantaua raaaia

Khaaa!! dereva alipiga vyombo hapo!! ha ha ha kwa hiyo baba atafurahi kuwa amenusurika ila sasa suala la mtoto wa dereva ndo utata mtupu
Dogo mmoja tangu alipozaliwa hadi umri wa miaka mitano hakuwa anaweza kusema.
Siku aliyoanza kusema, alitamka neno moja tu, "Bibi".
Siku ile ile, bibi yake akafariki. Sku ya pili akatamka "Mjomba". Mjomba naye akafiriki.
Siku ya tatu akatamka "Babu", babu akafariki punde baadaye.
Familia yote ikawa haina raha, kila mmoja akiwa na wasiwasi wa kutajwa katika orodha ya dogo. Nani atafuatia baadae, baba? mama? shangazi?.....
Siku ya nne asubuhi mapema dogo akatamka "Baba".
Duh! Baba akaingiwana simanzi. Akawaaga jamaa zake, akajilaza kitandani kusubiri saa yake, lakini muda si mrefu ikaletwa taarifa kuwa dereva wa familia amepata ajali na kufariki.

Hapo sijakupata vizuri hao waliotajwa na dogo wakafariki walikuwa na udugu na dreva wa familia au aliyedhaniwa kuwa baba wa dogo kumbe sio?
Hapo sijakupata vizuri hao waliotajwa na dogo wakafariki walikuwa na udugu na dreva wa familia au aliyedhaniwa kuwa baba wa dogo kumbe sio?
Kwa kuwa haikutajwa kama waliokufa ni jamaa zake dogo toka familia ya baba yake hawa Bibi, Babu na Mjomba inaonesha walikuwa walikuwa na uhusiano na dogo kwa upande wa mama yake tu.

Bora umenisaidia kuuliza swali mkuu maana hata mimi nilitaka kuuliza hlo swali...

Kwa kuwa haikutajwa kama waliokufa ni jamaa zake dogo toka familia ya baba yake hawa Bibi, Babu na Mjomba inaonesha walikuwa walikuwa na uhusiano na dogo kwa upande wa mama yake tu.

khaaa! Kumbe hakuwa baba wa mtoto dereva alicheza fauro