Nani atachukua nafasi ya Meck Sadiki?

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
4,912
3,991
Habari wanajamvi
Je Kilimanjaro inamuhitaji Kiongozi wa Aina gani?Je Kijana au Mzee?? Je nani anafaa kumrthi huyu mzee??

Nawasilisha kwenu
 
Mrisho Gambo atahamishiwa pale halafu tunaweka mtu mwingine pale arusha ili washirikiane kuinyoosha chadema lakini navyojua chadema hatunyooshwi hivyo tunachelewa tu lakini lazima tufike
 
Habari wanajamvi
Je Kilimanjaro inamuhitaji Kiongozi wa Aina gani?Je Kijana au Mzee?? Je nani anafaa kumrthi huyu mzee??

Nawasilisha kwenu
Yeyote anaweza kuchukua hiyo bafasi mradi awe anajua kusoma na kuandika hata kama anatumia cheti cha mtu mwingine na jina sio lake. SIFA KUU TUMEAMBIWA NI KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA na hiyo nafasi siyo ya utumishi wa umma ila ni ya uanasiasa!
 
Kwa sifa tulizoambiwa kuhusu wakuu wa mikoa awamu hii, hakuna haja ya kujadili hili maana hata Jah people sawa tu = KKK tu
 
Ila pwani apewe Gen mstaafu Makakala, makonda apelekwe kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, mama halima Dendegu aletwe Dar. Eng. Ndikilo aende Mtwara.
 
Back
Top Bottom