Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Mzee ndiyo anatakiwa na hii siyo Arusha tu hata majiji makubwa yote.Habari wanajamvi
Je Kilimanjaro inamuhitaji Kiongozi wa Aina gani?Je Kijana au Mzee?? Je nani anafaa kumrthi huyu mzee??
Nawasilisha kwenu