Kaka mkubwa sio watu wote hufanya hivyo ingawaje wapo baadhi huamini katika hiyo nadharia...
Huwa na wakaka/wadada kadhaa ambao mwanzoni huwa ni marafiki na baadaye huchagua mmoja kutoka hiyo pool ya friends
Huyu katuambia ni wachumba, means kawalipia posa na kuwavisha kishika uchumba...
Sikupenda itokee hivyo ni weakness zao zimenifikisha hapo! wewe toka uzaliwe eti mbele ya Mungu ni mmoja tu? au unamiliki kila mtu na kipindi chake?
Kwanza wewe huna maana unakuwaje na uhusiano na wanawake wote hao?
Pili hii ni ya kutunga
Kama sio ya kutunga,umeshindwaje kujua ni nani wa kuoa hapa basi nina wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa akili yako!!!!!!!!!!!
Kwani huyo kikojozi anatokwa na mikojo saa zote..umepeleke akatibiwe lol au ni usiku tu?kama ni Usiku tu kwanini ushindwe kumuandaa...si atajiswafi tu bwana!huoni kama ntashindwa kufurahia tendo la ndoa, nitakuwa siwezi kumuandaa kabla ya tendo kwa sababu ya harufu mbaya hivyo ntalidhisha nafsi yangu tu na kumuingilia mtu bila kumuandaa hakuna tofauti na kumbaka!
Sio kweli kuwa sababu ni weakness zao tu,hata weakness zako zimechangia mfano umekosa uvumilivu na ukatafuta mwingine na mwingine,weakness nyingine hukuwaambia kila ulipoamua kutafuta mwingine ili wakuache na usingewamiliki wote.
Kwani huyo kikojozi anatokwa na mikojo saa zote..umepeleke akatibiwe lol au ni usiku tu?kama ni Usiku tu kwanini ushindwe kumuandaa...si atajiswafi tu bwana!
si mnaoga halafu mnamalizana huko huko:smile-big:Kikojozi tatizo lake ni la usiku tu na hasa tunapo lala mida ya saa 9/10 napoamka kupiga mambo najikuta nimelowa unadhani utakuwa na hamu ya kufanya mambo tena?
huoni kama ntashindwa kufurahia tendo la ndoa, nitakuwa siwezi kumuandaa kabla ya tendo kwa sababu ya harufu mbaya hivyo ntalidhisha nafsi yangu tu na kumuingilia mtu bila kumuandaa hakuna tofauti na kumbaka!
huoni kama ntashindwa kufurahia tendo la ndoa, nitakuwa siwezi kumuandaa kabla ya tendo kwa sababu ya harufu mbaya hivyo ntalidhisha nafsi yangu tu na kumuingilia mtu bila kumuandaa hakuna tofauti na kumbaka!
Hapa tunaangalia nia yangu wakati natafuta kila mmoja ilikuwa ipi? hakuna niliye mhitaji ili nimchezee namaanisha play boy unaibadilishia maana sasa! si kawaida kuwa nao watatu najua ndio maana tunaijadili na hakuna mahala nimekwambia ni kawaida au hukusoma vizuri toka mwanzo? jina la lover boy naamini sina hata kidogo lover boy linatokana na kupenda sasa nani unaona moyo wangu umempenda nani kati yao mpaka siko tiari kumuacha?ili niitwe lover boy? au mkuu neno lover ni tatizo!Kumiliki tu hao watatu tayari wewe ni PLAY BOY,utakuwaje nao watatu alafu iwe kawaida??Hilo jina la Lover boy tayari unalo kwa hiyo usilihofie kabisaaa,wewe tafta mwingine tofauti na hao.
Sasa ivi umewezaj
Sijakataa lakini haitoshi wakati wa kuoga tuu naamini unajua ukweli!si mnaoga halafu mnamalizana huko huko:smile-big:
Mko wachache mnaoweza kujikita kwenye mada! japo demu uliye opt ni muoe ni ngumu kidogo ila kwa uchambuzi huo nadhani ushauri wako ni mzuri! Nimeamua kuwa rafiki yako!Rafiki kwakua umeomba ushauri basi nitakupatia kama ifuatavyo:
1. Mdada wa kwanza anafaa kabisa kuoa kwani ugonjwa huo unatibika, hata kama itashindikana kupona unatakiwa kuwa rafiki wa pampasi au nepi, vinginevyo uwe unalala kidogo na kushituka ili umpeleke kukojoa kila wakati. ikitokea kasafiri mpe pampasi au umshonee chupi yenye karatasi kwa ndani ili mkojo usivuje.
2. Mdada wa pili hakika atakuumiza kichwa maana uongo huwa hauna tiba, hata hivyo uongo huleta mafarakano, huvunja mahusiano baina ya ndugu, marafiki na jamii kwa ujumla.
3. Mdada wa tatu ni mzuri kwani ugonjwa wake unaweza kutibika, ila kwakua ni wa wastani hivyo anazidiwa na yule kikojozi, hata hivyo harufu ya mdomo+kwapa utakosa raha kabisaa hasa wakati wa chakula cha wanandoa.
Naomba uoe kikojozi ndugu yangu mambo yote yatakaa vizuri.
Kabla ya kulala pia ipo poa itakuwa hajamwaga kojo bado!Sijakataa lakini haitoshi wakati wa kuoga tuu naamini unajua ukweli!
Kabla ya kulala pia ipo poa itakuwa hajamwaga kojo bado!
Ushauri gani huo sasa unajikinzana? pili unanukuu na kujadili nje ya nukuu maelezo hayapampers zinazuia mkojo kwa 100% na hata haja kubwa akijisikia kuachia kitu kitandani bado hakuna kitakachoharibika,afu unamwamsha mapema saa 11 kuweka mambo sawa,sema hapa changamoto ya harufu ya haja kubwa inaweza kubadili hali ya hewa chumbani.
like it never happens!?? Hii kitu ni silent rule ni vile tu huyu jamaa kaenda an extra step kuwaita wachumba hiyo si halali kwa kweli!!!
Karibu sana mpendwa!Mko wachache mnaoweza kujikita kwenye mada! japo demu uliye opt ni muoe ni ngumu kidogo ila kwa uchambuzi huo nadhani ushauri wako ni mzuri! Nimeamua kuwa rafiki yako!