Ukishakosa muoaji ni wazi hata muolewaji hamna pia.Mbona huulizi kama hapo yupo wa kuolewa? big up!
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
... ni vigumu sana kukushauri ukiwa umekalia kiti cha jaji, nirahisi kukushauri kama ungekuwa unaangalia faida zaidi kuliko makosa, maana weakness zote ni sawa, in any way kila mtu anamapungufu yake. so the biggest problem here ni kwamba bado huna msimamo...Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:-
WA KWANZA
. Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani
WA PILI
.Mapepe, mvivu wa kitandani ila kazi za nyumbani anaweza, mzuri wa sura, ana dharau kwa watu wengine wakiwemo ndugu zangu,msafi ila muongo na anapenda kusifiwa.
WA TATU
.Mcheshi, msafi wa mwili, ana tabia nzuri,ni wa wasitani katika kazi zote, mzuri wa muonekano ila ananuka mudomo na kikwapa hata apige mswaki na kuoga vipi!
Ushauri wako ni muhimu sana!
Nimeuliza kupenda maana yake ni kutunza siri bila kutafuta suluhu au namna ya kumsaidia mpenzi wako?
[/QUOTE]usihalalishe chain
kwa kua ana kojoa kitandani ungefanya utaratibu wa kumuamsha anakojoa huo usiku[
hakuna alie mkamilifuQ
sasa na hao wengine?UOTE=julius mahinya;7180242]Nilitaka ujifunze kupitia mfano huu wa kweli kuwa mapungufu yako yanaweza kumfanya mwanaume/mwanamke atoke nje ya mahusiano na kuwa kwenye chain!
watu wengi wanawalaumu watu bila kujua kuwa huenda alitumbukia kwenye wrong choice? mapungufu sikuyatumia kama sababu haja yangu ya penzi haikutimia mfano mnalala na mtu usiku anakuomba tupumzike tutafanya later na wewe unajua kweli mwenzangu amechoka unaamka saa kumi/tisa unajikuta uko baharini na maanisha umelowana una hamu na kufanya mapenzi tena mapenzi ni starehe si karaha sawa usinione wa ajabu hata wewe kuishi na kijana kikojozi sijui?
Nimiongoni mwa ushauri nilioorodhesha kwenye diary ili nikitulia niufanyie kazi! thax mkuu!acha zote hizo bana, tafuta nyingine, hapo hutakuwa na amani labda km ukiamua kutafuta dawa ya hao wagonjwa, ila ukikosa hutakaa kwa amani na utatoka nje ya ndoa km ulivyofanya sasa kutokana na matatizo hayo...
mkojo wa mtu mzima ngumu sana bana, labda km tatizo lenyewe lingeanzia akiwa kwako ungemvumilia lkn anakuja nalo, ni ngumu sana kucoup, japo ukimuoa huyu na kuamua kumvumilia kukojoa kwake bas atakuheshimu sana na ww utaishi maisha ya ndoa ya amani sana, na huyo mwanamke hatakusumbua...
huyo mwenye kikwapa na kunuka mdomo ni ngumu kuishi nae km hajapata tiba kwani huezi kuinjoi kumsogelea na mapenzi hayako hivyo.. ni mtu utakayelala nae kitanda kimoja na mtakuwa karibu lazima umuhitaji kwa hivyoo kero ni ngumu aisee..mimi nina ndugu yangu ananuka kikwapa enzi hizo tukiwa nyumbani akivaa nguo yako mara moja tu unaitupa kwa jinsi inavyonuka jasho hilo hata uifue mara 10 haliishi
nilisema kasoro zangu japo sitarudia niliwajibu watu walitaka kujua! thax kwa ushauri!pole kwa msala huo, ila kama maelezo yako ni ya kweli, basi oa huyo wa kwanza kuwa kuwa suala la kukojoa kitandani linatibika kwa wataalamu hata wa tiba za asili, pia hilo sio tatizo la nje ambalo kila mtu anakuwa analijua, bali ni la ndani sana, kuliko hao wengine na miharufu yao itakuwa aibu hata kwa watu wanaowazunguka huko, na huyo muongo ndio majanga zaidi...u know what I mean! so huyo wa kwanza safi, ni marekebisho madogo sana...na wewe mwenyewe una kasoro au kero gani maana umeongea ya wenzako tu yako vipi? au wewe umekamilika?inawezekana unaendana na mmojawapo kati ya hao na mkaunda kapo bomba sana...lol!
wote hao wewe tuu?
aaah bana. mwananthropolojia wangu hajafa
nilisema kasoro zangu japo sitarudia niliwajibu watu walitaka kujua! thax kwa ushauri!
Kaka watu8, huyu anashangaa watatu...mbona mimi nilitaka kuchukua sample space ya 5 - 9 hivi.
Kuna presumption of death kwenye sheria. Ukikaa bila taarifa rasmi ya mumeo kwa muda kadhaa basi mahakama inakubali presumption of death ili kukuruhusu wewe kuolewa tena na kuendelea na 'raha' za maisha.
Cc: Ruttashobolwa
Wewe mwenyewe naamini hao watatu ulivuka muda tu! labda unachonizidi mimi uliwamiliki muda tofauti tofauti! tena nyie wasichana?duh!..uko juu na sample space yako
n bado sijakata tamaa...namtafuta..if not today,tomoro atarudi
Nimiongoni mwa ushauri nilioorodhesha kwenye diary ili nikitulia niufanyie kazi! thax mkuu!
Wewe mwenyewe naamini hao watatu ulivuka muda tu! labda unachonizidi mimi uliwamiliki muda tofauti tofauti! tena nyie wasichana?