Nani anayegharamia ujenzi wa daraja la Coco Beach? Kama taifa tumewekwa kwenye kapu la akili ndogo?

Hata Mimi huwa sipati picha watawala wetu wanawaza nini? Hivi Kuipanua Ally Hassani Mwinyi kuwa njia nne kila upande si ingekuwa option nzuri zaidi kuliko kujenga hili Daraja uchwara?tena daraja lenyewe ni two lanes
Kwa akili zao fupi, wanadhani foleni ya Aal hadan Mwinyi road inasababishwa na sarenda bridge
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
MKUU lile daraja unaloliona pale SALENDER ni foundation ya ujenzi wa daraja husika aMbalo hayo ndio majukwaaDaraja. unachokiona ni jukwaa sio daraja lenyewe husika bado halijaanza.
pili muhusika ni MAGU mwenyewe na ndio aliyelizindua ujenzi wake siku chache zilizopita. ila naungana na wewe kujiuliza nini faida ya ujenzi huu unaopita pembeni mwa barabara iendayo kinondoni nk. ni umbali kama wa mita 200 tu wakati nchi ina sehemu nyingi tu zinahitaji ujenzi wa barabara na madaraja mengi mabovu ambako ndio kwenye mahitaji muhimu kuliko huku lilnakojengwa hili daraja ukizingatia muda si mrefu wakazi wengi wanaoishi maeneo linakoelekea hilo daraja ni wageni na mabalozi ambao watatakiwa kuhama maeneo hayo kueleekea makao makuu DODOMA.
kitu ambacho ukiangalia unagundua kuna upigaji hapo umeshapigwa maana mwanzo walisema hili daraja litafika cocobeach je pale linapotokea kutoka agakhan ndio COCO penyewe? CHANGA LA MACHO JIPYAAAAAAAAAA!!!

#2020OKOA TANZANIA
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
Kituo kinachofuata naomba nishuke
IMG-20190322-WA0020.jpeg

Jr
 
We jamaa huna akili. Kwa h8yo kama serikali inahamia dodoma ndio dar isijengwe? Alafu unadhani hao mabalozi watahamia kesho au kesho kutwa? Bado sana dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena aendelee kuaweka mengi tu, mbona hatuna mengi kihivyo, kwenye sinema twayaona kwa wenzetu, waliosafiri ughaibuni wanadai usiseme, kule yapo chungu tele, kweli watanzania hatuna shukrani...
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
bogus stuff
 
Tunajenga kwa kuwa tunayaona kwenye Cinema au kwa kuwa tunayahitaji?Nyie mashabiki mbuzi vipi tena?
 
Daraja hili halina umuhimu wowote, gharama zake bora wangevunja police surrender na kupanunua lililopo kwani ndio kikwazo. Magari yatokayo oceans yakiungana na mhimbili tayari foleni. Bora wangejenga interchange mchezo ungeisha
Au wangeboresha magomeni au kigogo maana huko ndio kuna traffic kubwa kuliko watu wanaotokea masaki, osterbay
 
Daraja hili halina umuhimu wowote, gharama zake bora wangevunja police surrender na kupanunua lililopo kwani ndio kikwazo. Magari yatokayo oceans yakiungana na mhimbili tayari foleni. Bora wangejenga interchange mchezo ungeisha
Nakubaliana na wewe kwenye suala la interchange hapo stanbic!
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
Hilo ni jiji la kibiashara ,linakua kwa kasi sana,lazima miundo mbinu ianze kujengwa sasa,hakuna ajabu,lengo ni kupunguza misongamano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
Threads Za Kijinga ambazo Zinaanzishwa na Watu Wajinga

Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan
Ni sawa uwe na barabara mbili sasa ufanye upanuzi na kuongeza mbili nyingine, au hauna akili?

Shida ni kwamba pale huwezi kufanya upanuzi Kuna balozi na majengo yenye gharama zaidi so ni heri daraja limejengwa Kama diversion ya foleni ya kutoka na kuingia city center kwa maana ukishatoka nje ya mji kila mtu anaelekea upande wake.

Tena unapaswa yajengwe mengi zaidi ijengwe freeways kutoka town inashukia tegeta yani ukilipia road toll unakanyaga speed inashukia Morocco then mwenge then tegeta hapo tunakuwa tumepunguza muda wa kwenda na kutoka mjini.
 
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na nyingine ambako kako mita chache sana kutoka barabara hiyo na kapo kando kidogo mwa bahari ya Hindi. Hili ndilo daraja la coco beach ambalo limenyanyuka mita chache sana kutoka usawa wa bahari.

Ukiangalia kwa umakini daraja hili basi unajikuta ukijiuliza maswali mengi sana na kama una hasira basi utaishia kutoa lugha za kuudhi kimawazo na hata kwa mdomo.

Unajiuliza ni nini hasa umuhimu wa daraja hili? Unakosa jibu! Unajiuliza ni nani hasa anagharamia? Unaishia kuomba Mungu zisiwe kodi zetu!

Daraja limejengwa pembeni kidogo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na hivi karibuni Rais Magufuli na ikulu yake watahamia Dodoma, balozi za Umoja wa Ulaya Canada, China na nyingine zote ambazo labda wao ndiyo hasa walengwa wa daraja hili hawatakuwepo tena.

Unajiuliza kama daraja litatumika kama kivutio cha utalii unarudi unaangalia jinsi ujenzi wake ulivyo, lilivyonyanyuliwa kutoka usawa wa bahari, umbali kutoka daraja hilo na nchi kavu ulivyokaribiana unajikuta ukikasirika tena.

Any way naona sasa tumekuwa "Dona Kantre" kiasi kwamba tunaweza kutumia fedha jinsi tunavyotaka maana zipo nyingi.
Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan
Kwani unadhani dar haina watu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom