Nani anayegharamia mikutano ya Zitto inayoendelea?

Status
Not open for further replies.

Lihove

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
209
195
Wana Jf.Naomba kuleta swali la kutaka ufahamu tu. Hivi najiuliza ni nani anayeghalamia mikutano ya Zitto kabwe inayoendelea. Je ni yeye mwenyewe au chama. Lakini najua pia kuna ziara ya kkatibu mkuu Jembe Slaa naye yuko kwenye ziara.nahisi hii ya Slaa inagharamiwa na chama lakini kama na yakabwe inaghakamiwa na chama kwa nini wasiungane pamoja kwenye safari moja?najua pia kabwe yuko kwenye mgogoro na uongozi wa chama chake.amepata wapi kibali cha kuendesha mikutano?je chama kimeridhia?je anaosema kwenye mikutano hiyo ni kauli za chama au za kwake? Tunatofautishaje kauli zake binafsi na zile za chama?
 

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,577
1,225
Wanaogharamia mikutano yake ni ccm,Ninashangazwa na CDM kuendelea kukaa kimya juu ya huyu msaliti na mhaini wa chama anaendelea na uhaini wake dhidi ya chama Inatakiwa Zito apigwe chini ni suala la muda mfupi atasahaulika,kwani bado wanachadema wanaenda kumsikiliza kwani hawajajua kinachoendelea.Lakini akishatimuliwa mikutano yake itahudhuliwa na wanaccm tu,ambao ni wachache na utakuwa ndio mwisho wa usaliti'
 

Mr Dhaifu

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
774
250
Mkutano wa Zitto na Dr Kitila Mkumbo na waandishi wa habari walioandaa ni masalia waliotimuliwa CDM kwa usaliti kina Mwampamba na mchange.
 

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
195
am now looking for a gun better akifika Tabora nimsnap...mtu anayesaliti mapambano ya haki ni bora awawe tuu,anatusaliti vijana.huyu gobore tu napasua ile kichwa najua watanitafuta ila na mimi lazima nijiue ili litimie lile neno nililojipangia na awache kucheza na wasukuma lazima tumfanyie alichofanyiwa mabina
 

Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Someni MAWIO la leo 26 December na muunganishe dots,kila kitu kiko uchi,ila Zitto ana roho ngumu au tuite ujeuri??!! Sioni hata chembe ya elimu yake katika utetezi wake na hata mbinu sana sana anazidi kujianika na kuaibika!! Sishangai akifukuzwa CHADEMA kwani anasitahili,sitashangaa akienda CCM ingawa itabidi apitie NCCR kwanza kwa mwenyekiti ambae ni mbunge maalumu wa CCM- Mbatia kwani anasitahili kuwa huko na ana deni kwani watu walishachumbia harakati zake!!!
 

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
2,000
hao wazalendo ni wepi? Kutoka chadema ama ccm? Kivip?

mkuu, cdM hawana pesa za kuchezea kwa kufanya ziara isio na matunda kwa chama...

Wazalendo ni wenye "mapenzi mema" kwa MM. Wapo kutoka cdM na pia ccM... Kwa kuwa ni mtu "wao" wanaemtumaini kuliko taasisi anayofanyia kazi.
 

sukankanwa

Member
Nov 20, 2013
92
0
Watakao wanamghalamia zito kwenye mikutano yake ni akina mwigulu nchemba na nchimbi,wao wanataka kutimiza lengo lao kwa njia hiyo wakidhani watafanikiwa kuibomoa chadema la hasha hawawezi cdm itazidi kusonga mbele.
 

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,146
1,250
Hili swali hata mimi najiuliza sana. Kama kwa hakika Zitto anaendesha mikutano hii yote kwa pesa zake za mfukoni, basi ni dhahiri kwamba anahongwa na CCM. Kwa hali ilivyo ndani ya chama hivi sasa, si rahisi kwamba wenyeviti wa CHADEMA wa mikoa au wa wilaya wanajishughulisha na uandaaji wa mikutano yake. Sasa ni nani anayeandaa? Ni nani anayegharimia matangazo, maturubai na majukwaa ya mikutano? Kuna walakini mwingi sana katika yale anayofanya Zitto hivi sasa. Kwa namna moja yanaonyesha ushahidi kwamba huyu si mwenzetu anatumiwa na kikundi fulani chenye nia ovu kwa CHADEMA.
 

manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
3,524
1,250
Ni kati ya bilion zaidi ya mbili alizowekewa na tis CCm huko ujerumani.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom