Nani anayegharamia mikutano ya Zitto inayoendelea?

Status
Not open for further replies.
gazeti la MAWIO LA TAREHE 26/12/2013 limewaweka wazi wafandhili na wawezeshaji akiwemo MAXENCE MELO wa jamii forum

Nakubaliana na ww maana hata mimi nimepandisha uzi humu kuhusiana na issue kama hii ila umetolewa bila sababu za msingi,JF inataka kuwa chini ya wanasiasa badala ya jamii nzima kama inavyojinasibu(jamiiforum) utumwa mbaya sana
 
am now looking for a gun better akifika Tabora nimsnap...mtu anayesaliti mapambano ya haki ni bora awawe tuu,anatusaliti vijana.huyu gobore tu napasua ile kichwa najua watanitafuta ila na mimi lazima nijiue ili litimie lile neno nililojipangia na awache kucheza na wasukuma lazima tumfanyie alichofanyiwa mabina

Kama mlivyomfanyia yule jamaa wa Mara
 
Watakao wanamghalamia zito kwenye mikutano yake ni akina mwigulu nchemba na nchimbi,wao wanataka kutimiza lengo lao kwa njia hiyo wakidhani watafanikiwa kuibomoa chadema la hasha hawawezi cdm itazidi kusonga mbele.

Kwa sasa cdm haisongi mbele kabisa, uache kujidanganya
 
Hili swali hata mimi najiuliza sana. Kama kwa hakika Zitto anaendesha mikutano hii yote kwa pesa zake za mfukoni, basi ni dhahiri kwamba anahongwa na CCM. Kwa hali ilivyo ndani ya chama hivi sasa, si rahisi kwamba wenyeviti wa CHADEMA wa mikoa au wa wilaya wanajishughulisha na uandaaji wa mikutano yake. Sasa ni nani anayeandaa? Ni nani anayegharimia matangazo, maturubai na majukwaa ya mikutano? Kuna walakini mwingi sana katika yale anayofanya Zitto hivi sasa. Kwa namna moja yanaonyesha ushahidi kwamba huyu si mwenzetu anatumiwa na kikundi fulani chenye nia ovu kwa CHADEMA.

Ndiyo mjue yeye ni zaidi ya yule babu yenu
 
Habari za Kuaminika zinasema, Bw Sabodo ndie anayegharamikia hii mikutano ya Mhe Zitto, Inasemekana amempa TS150,000'000/-, Bw. Sabodo amekasirshwa sana na namna viongozi ndani ya Chadema walivyo zitumia vibaya mamilion ya pesa alizozitoa kwa ajili ya kuwachimbia visima wananchi na kuimarisha Democracy ndani ya chadema. Pia anataka haki itendeke kisiasa ndani ya chadema, na pia acountability ufanyike kuhusu matumizi ya pesa za misaada inayotolewa na kupewa chadema.

Pia kuna habari ya kuwa Social Democratic ya Ujerumani nayo imempa msaada, Of course na wale wengi ambao wanaipenda Chadema na ambao hawakubaliani na uonevu na ufujaji sheria unaondeshwa na Familia ya Mtei na Masalia wa kutoka karatu. ALL ROADS LEADS TO IKULU

Hao social democratic wampe msaada kwa dhumuni gani kwa manufaa ya nani chama au zito

Habari za Kuaminika zinasema, Bw Sabodo ndie anayegharamikia hii mikutano ya Mhe Zitto, Inasemekana amempa TS150,000'000/-, Bw. Sabodo amekasirshwa sana na namna viongozi ndani ya Chadema walivyo zitumia vibaya mamilion ya pesa alizozitoa kwa ajili ya kuwachimbia visima wananchi na kuimarisha Democracy ndani ya chadema. Pia anataka haki itendeke kisiasa ndani ya chadema, na pia acountability ufanyike kuhusu matumizi ya pesa za misaada inayotolewa na kupewa chadema.

Pia kuna habari ya kuwa Social Democratic ya Ujerumani nayo imempa msaada, Of course na wale wengi ambao wanaipenda Chadema na ambao hawakubaliani na uonevu na ufujaji sheria unaondeshwa na Familia ya Mtei na Masalia wa kutoka karatu. ALL ROADS LEADS TO IKULU
 
Iko Siku mtu ataambiwa mke wako apelekwe kwa Katubu wa Chadema atakubali. Ushabiki wenu wa vyama mpaka huwa nasoma nashindwa kuwaelewa , hivi kweli nyinyi ni wazalendo wa Taifa hili au mna tamaa tuuu. Nina mashaka sana na hili.
 
Wana Jf.Naomba kuleta swali la kutaka ufahamu tu. Hivi najiuliza ni nani anayeghalamia mikutano ya Zitto kabwe inayoendelea. Je ni yeye mwenyewe au chama. Lakini najua pia kuna ziara ya kkatibu mkuu Jembe Slaa naye yuko kwenye ziara.nahisi hii ya Slaa inagharamiwa na chama lakini kama na yakabwe inaghakamiwa na chama kwa nini wasiungane pamoja kwenye safari moja?najua pia kabwe yuko kwenye mgogoro na uongozi wa chama chake.amepata wapi kibali cha kuendesha mikutano?je chama kimeridhia?je anaosema kwenye mikutano hiyo ni kauli za chama au za kwake? Tunatofautishaje kauli zake binafsi na zile za chama?
Nilishasema chadema ni klabu ya mpira sio chama kila mchezaji na washabiki wake; zzk anagharamiwa na washabiki wake na mzee wa matamko anagharamiwa na wakwake wala hamna la kushangaa hapo.
 
Someni MAWIO la leo 26 December na muunganishe dots,kila kitu kiko uchi,ila Zitto ana roho ngumu au tuite ujeuri??!! Sioni hata chembe ya elimu yake katika utetezi wake na hata mbinu sana sana anazidi kujianika na kuaibika!! Sishangai akifukuzwa CHADEMA kwani anasitahili,sitashangaa akienda CCM ingawa itabidi apitie NCCR kwanza kwa mwenyekiti ambae ni mbunge maalumu wa CCM- Mbatia kwani anasitahili kuwa huko na ana deni kwani watu walishachumbia harakati zake!!!

Mkuu Abdillahjr unajua Mungu anapotaka kumuumbua na kuadhibu Mnafiki huwa hatua ya kwanza ana mpiga Upofu baada ya hapo ana mfanya kiziwi lakini katika halia yandani ya mtu huyo huyo ana muaaminisha kabisa kwamba yeye siyo kipofu wala siyo kiziwi na anamfanya kuwa kichwa ngumu ili siku anapoanguka aanguke kwa mshindo mkuu na wale wote waliokuwa karibu yake wapate funzo stahili . Anafanya hivyo kwani akimpa Macho na masikio ya kusikia anaweza fanya hila ya kuwaficha baadhi ya masalia kwa Hiyo ni jukumu la Chadema kumuangalia anamopita na kuzidi kukusanya masalia ambayo walikuwa hawajayaona.

Naamini huu ni mpango wa Mungu kufanikisha ukombozi kwa watanzania.
 
Wafadhili wake (Maadui wachama chake)

Wana Jf.Naomba kuleta swali la kutaka ufahamu tu. Hivi najiuliza ni nani anayeghalamia mikutano ya Zitto kabwe inayoendelea. Je ni yeye mwenyewe au chama. Lakini najua pia kuna ziara ya kkatibu mkuu Jembe Slaa naye yuko kwenye ziara.nahisi hii ya Slaa inagharamiwa na chama lakini kama na yakabwe inaghakamiwa na chama kwa nini wasiungane pamoja kwenye safari moja?najua pia kabwe yuko kwenye mgogoro na uongozi wa chama chake.amepata wapi kibali cha kuendesha mikutano?je chama kimeridhia?je anaosema kwenye mikutano hiyo ni kauli za chama au za kwake? Tunatofautishaje kauli zake binafsi na zile za chama?
 
Anachofanya Zitto Ni sawa na KICK OF A DYING HORSE....

Mimi binafsi nailaumu kamati kuu ya CDM kwa kuwa DHAIFU kupita kiasi na kufanya chama kinadhalilishwa na mtu mmoja. The sooner they fire him the better

100% uko sahihi kwa kwa mwendo na Kauli aliyoionyesha mpaka dakika hii.Ni kwa bahati mbaya au jeuri ,ahadi na kwa namna yoyote unayoweza kuieleza anayoyafanya pamoja na kwamba hatima yake ilikuwa bado lakini kwa njia aliyoichukua/maamuzi aliyochukua ni dhambi na hatari kubwa Kumrudisha Kumdini kama Hata chukua hata ya Kula matapishi yake mbele ya Kadamnasi (Uungwana na Ni kwa Vitendo).

Huku kujiunga toka 16yrs Old alafu Katikati ya Muda muhimu unaamua kuwa kinyume na Wapiganaji ,kwa mwenye akili inayofanya Kazi hatasita kujihangaisha kutafuta maswali labda kukosa majibu ya 100% isipokuwa 70%!

1.Mtu huyu ameshinikishwa kufanya hivyo?
2.Mtu huyo toka awali hakuwa na nia ya dhati?
3.Malengo yake yamekosa njia kwenye nyumba husika hivyo ni heri ibomoke(tukose wote)?
4.Kuna ahadi ya mali/vitu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom