Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

Mtu anakwambia unaibiwa ndo anageuka kua mbaya dunia hii Tumerogwa
Role model wa siku hizi ni mafisadi, majambazi, wauuaji na machawa wao.

Ukisema hapa mnakosea, tujisahihishe wewe ndio unaonekana muhuni, unastahili kutekwa, kuteswa na kuuwawa.
 
Kabla hatujatafuta kosa (yapo ni mengi tu) ni vema tukatumia mipangilio / hatua za Kisheria tulizojiwekea za watenda makosa...;

Kunyakuana kinyemela bila due diligence na mpangilio ni makosa zaidi katika Taifa linalojibainisha kufuata Haki na Sheria...
 
Magufuli hakupanga kuachia nchi alishaanza hadi kufuga Ng'ombe pale ikulu Dodoma. Alikuwa anafuata nyayo za Kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…